Wakuu naomba mwongzo wa kimawazo kutokana na Maisha ya sasa yalivyo mtaani nataka nifungue saloon ya kike vile vifaa vyake naweza pata kwa shingp au vipya au ninunue kwa mtu havitaleta shd?
Kwa mahitaji ya bidhaa tajwa hapo juu "originals" ndani na nje ya Dar es salaam
Pia tunauza bidhaa nyingine kama honi, air fresheners, dashbod wax, tunaweka tinted, tunauza na kufunga redio na...
Habari zenu wote.
Kwa wale wote wanaohitaji smartphone (iPhones na Samsung) Kwa bei nafuu. Napost hapa gharama zetu za simu zilizopo. Pricelist yetu hii hapa chini.
Tutakuagizia kutoka nje ya UK...
Habari wadau.
Ninauza tshirt heat press machine.
Size A-3, Manufacture anaitwa Adkins
Bei 1,000,000 fixed.
Ni brand new ina warranty 12 months
Pia tunapokea oda za kuprint tshirts, za...
Habari wana JF nauza eneo lipo michese dodoma KM 6 kutoka soko la majengo miundo mbinu iko mizuri.
ukubwa wa eneo ni sqm 2162 au tulio zoea hatua ni miguu 57 kwa 52.
bei milioni 4
karibu PM wanunuzi.
TUNAUZA VIFARANGA WA BROILER NI BEI NI 1,300Tsh
Ukinunua kuanzia Vifaranga 1,000 bei ni 1,200Tsh tu
Weka oda yako, Vifaranga tunatoa Siku ya juma tatu na alhamis.
#broiler #kukuwanyama...
We are offering a wide range of Consultancy services in regard to Business Planning, Management and Strategy, Finance and Accounting, Human Resources, Legal, Operations and Logistics, Sales and...
Habari tunavyo vifaranga bora kabisa vya kambale, kwa bei nzuri na resonable kabisa, idadi yeyote utakayotaka..Tafadhali tupigie simu 0757400897, 0657999034..sehemu yeyote within mainland ya...
CHRISTMAS MARKET FESTIVAL yaja!
Kwa mara ya kwanza Dar es salaam itashuhudia festival ya soko lenye bidhaa zote za Msimu wa Krismas katika Viwanja Vya Makumbusho Ya Taifa (Opposite na Chuo cha...
Habari nauza madini yafuatayo.
Hii ni rubi gemstone gram 2 ya winza bei 150,000,000/=
Hii ni Alexander lite (change color) gram 23 ya winza 600,000,000/=
Napatikana mkoa wa Singida...
Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo...
Kwa anayehitaji kiwanja Dar, kiwanja kipo toangoma wilaya Temeke kimezungukwa na wakazi wengine kina ukubwa wa 29.3*13.3 bei ni 5m pekee wahi ukichukue, kwa atayehitaji mawasiliano ni 0674839141.
tunatoa offer (ofa) kwa wanaohitaji business cards, logo na lebo za bidhaa zao kwa gharama zifuatazo;
Company logo designing = Tsh.30,000/=
Business card designing = Tsh.25,000/=
Product label...
Husika na kichwa cha ujumbe.
Ninataka kununua shamba ifikapo Desemba. Napendelea Mkoa wa Pwani. Wilaya ya Kibaha, Chalinze au Mlandizi.
Bajeti yangu ni 200,000 per acre.
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.