Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini wadau wabhabha na wabhamayo mimi ni Msukuma niko Mwanza nimeuza kang'ombe kaurisi sasa natafuta namimi kakiwanja sehem nzuri hata kama ni kijijini lakini karibu na miundombinu au kijiji...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Niko mitaa ya Posta natafuta drilling machine ya kukodi kwa kazi ya saa moja
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati Bei 2m fixed Nb gharama za serikali za mtaa zinalipwa na mnunuzi Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Habari za muda huu wana Jf, Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto. Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kioo cha TV yangu kimeharika nahitaji kioo cha TCL inch 42. Niko Morogoro, Dodoma na Dar nakuja fasta. Shukrani
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu.. Nipo mwanza kwa sasa ila ni mgeni kidogo wa hili jiji. Naomba wenyeji mnielekeze maduka ya pamba kali za jeans, cardet, mashati bila kusahau shoes... Nipo maeneo ya kirumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bournemouth Man Utd – away to score Arsenal Wolves – over 1.5 either half Aston Liverpool – NG either half Espanyol Valencia – under 3.5 Levanter Barcelona – home to score Sevilla Atleti – GG...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nina shida na wauzaji wa chupa za chai FUDA FLASK. Kwa ambaye atanisaidia mawasiliano ni 0766 010 154 asante.
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wandugu mwenye bidhaa pendwa ya ufuta mweupe au mweusi tutafutane. Compositions kwa ufuta mweupe Moisture 5% Max. Fat (Oil) 48% Min. Ash 6% Max. Protein 20% Min. Carbohydrates 10% Approx...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wapendwa naomba kwa ataekuwa na kifaa hicho tajwa naomba anijulishe 0756395945
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Habari wadau, naomba kujua Bei ya madini ya Ruby mpaka kufikia leo. Kwa mwenye soko napatikana 0755500510
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fundi madishi ainayote napatikana kwa mawasiliano Namba 0766334872 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zinapatikana Tegeta! Idadi yoyote! Kuanzia Box 100 Discount ipo. 4PCS/Box at 1.44 SQM, rangi 4 kama kwenye picha ikiwemo White Plain, Box ni 27500/= Zinatoka China! Aina ni Granite. Best price...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Samsung Galaxy Grand Prime Pro for sale
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyeusi 32gb Imetumika wiki 250k Ipo mbagala Kariakoo nakuletea 0753 815343
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji Trucks kwa ajili ya kubeba korosho kutoka Mtwara Nachingwea, Lindi kuja Dar es Salaam tuwasiliane 0754308621
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Habari zenu wakuu, Kuna vifaa vyangu vichache ninahitaji kuvisafirisha kutoka Dar kwenda Arusha. Vitu vipo hapa Ubungo Kibo kituo cha madalali. Ninaomba mwenye taarifa ya lori lenye nafasi kutoka...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
KWA AFYA BORA JIPATIE CHUPA Wakati mwingine tunajiletea maradhi pasipo kufuata kanuni za Afya Wengi wetu hatuna desturi ya unywaji wa maji yaliyo salama na safi, ... Watalaamu wanatushauri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
HP 215 G1 Notebook RAM 4GB HDD 320GB Battery 5hrs Bei: 450,000 Warrant 1 Year Call 0745624754 Tupo Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima Natafuta mentor wa forex maeneo ya singida mm nipo karb na chuo cha Tanzania institute of accountancy
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom