NYUMBA INAUZWA
MAELEZO
Ni nyumba ya vyumba vinne(1 master bedroom).
Pia ina;
-Dinning
-Sitting
-jiko
-store
-Public toilet
-uwanja kubwa kwa ajili ya parking.
UKUBWA WA ENEO
30*20(sqm 600)...
Salaam wajuvi wa jukwaa hili.
Kwa jiji la Mwanza, wapi naweza pata Sim Card Reader? Niweze kusoma data za kwenye line ya simu kwa kutumia PC.
Shukrani.
Kiwanja kipo Kivule frem 10 ( njia ya chakenge ). Unapanda gari la gongo la mboto then unashuka kituo kiitwacho Banana. Hapo banana utapanda gari ziendazo Kivule frem 10. Kutoka hapo frem 10 hadi...
NYUMBA NZURI YA KISASA
IPO KIGAMBONI KIBADA.
INA 4 BEDROOMS,
MASTER 2, SEBULE KUBWA NA DINING,
JIKO LA KISASA
UKUBWA WA PLOT SQM 700.
INA TITLE DEED.
BEI TZS MILLION 190 MAONGEZI YAPO
tunauza mashuka jumla na reja reja ya cotton ambayo yametengenezwa hapa hapa Tanzania.
kwenye mfuko mmoja kunakaa mashuka mawili na foronya 4, ukubwa wa mashuka ni inch 90 kwa 100 ambayo ni...
Je, unahitaji kusajili kampuni yako hapa Tanzania na hauhitaji kukaa foleni na kuepukana na usumbufu wa kufika BRELA?
Basi kampuni pendwa ya Finespace and Business Consultancy Limited inakuweka...
Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua.
Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue...
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031. Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu...
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu...
Habari nahitaji flat tv inch 24 NA kuendelea iliyotumia aina yeyote hela niliyokuwa nayo ni 170000 nipo moro town mwenyenayo anicheki 0715992666 whatsapp au nipigie
Kwa wale wazoefu, nataka kujua bei ya mihogo niuzaje shambani, shamba lipo kibaha, nililima mwezi wa 3 mwaka jana, ile mbegu ya kukaa muda mrefu shambani (ndope). Ni mikubwa na mitamu. Lakini...
Hayaaa dagaa hao wa Mwanza wamekaangwa vizuri kwa viungo ili kukupa radha ya kueleweka kabisaaa[emoji108][emoji108][emoji108].Ni watamu sana na pia hawana mchanga wala uchungu.Na hakika ukiwaonja...
Sumtech Company Limited
Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona,
-Speed
-Sehemu ya gari yako ilipo
-kuzima au kuwasha gari...
Nyumba ipo Mbezi Jangwani Beach
Ndani ya eneo kuna nyumba 2.
Ukubwa wa kiwanja ni 3500 sqm
Bei 350m
Panafaa kujenga ukumbi, hotel, bar nk.
Maongezi zaidi 0756060183
Pet's Vaccination Card
Price: 2,000Tsh | Available
Mifugo Tz ina madaktari(Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama.
Tunatoa huduma mbali mbali za mifugo kama:
a) #Chanjo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.