Tunatengeneza website kwa ajili ya aina yoyote ya biashara unayohitaji.
Bei ni Sh 95,000 tu na hakuna gharama zilizojificha (No hidden costs)
Tupo Mwanza, Tanzania na tutakuhudumia ukiwa kokote...
Wakuu hbar za mida,
Nauza pikipiki boxer bm 150 ina miezi 11 tu na imetembea km 22,621 mpka sasa haijawahi kugongwa ipo katika hali nzuri kabisa na pia ina kibali cha mjini.Pikipiki ni ya kwangu...
TANGAZO TANGAZO
HAKI SECONDARY SCHOOL
P.O.BOX 2294 TANGA
Shule imesajiliwa kwa namba S1553. Ipo katika halmashauri ya Jiji la Tanga kata ya Nguvumali.
Ni shule ya bweni na kutwa kwa wavulana na...
Tunatengeneza greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika,
1) tunajenga za miti, ambazo hukaa kwa muda wa miaka 8,
a) mita 6 upana 12 urefu,tunajenga tunalifunika kwa wavu maalum...
Habari njema kwa wakulima wote. Pata, Super Grow mbolea Ya asili ya maji inayokuongezea mavuno Mara mbili zaidi ya unachovuna sasa.
1.NYANYA
2.VITUNGUU
3.MPUNGA
4. NGANO
6.MAHINDI
7.MAHARAGE
8...
Dalali beka
Karibu ujipatie vyumba,nyumba na frem kupanga kwa bei nafuu kabisa
Malipo ni baada ya kuridhika na huduma
Tunakupeleka kuona buree kabisa
Kwa mawasiliano
0656 548919
Jimbo Katoliki la Ifakara linawatangazia watanzania wote kuwa, limefungua shule mpya ya Sekondari iliyosajiliwa kwa jina la ST. RAPHAEL SECONDARY SCHOOL na kupewa namba ya Usajili S.5061.
Kwa...
Nafasi Za Masomo kwa Mwaka 2020
Chamazi Islamic Tunapokea Wanafunzi wa Boarding Vs Day pia Tuna usafiri wa kutosha Wasiliana Nasi kwa Email : imaamhanafiy77@gmail.com
Phone 0655 412829 / 0753...
Habari, Nauza saa aina zote za kike na za kiume kwa bei ya jumla na rejareja ni shilingi Tsh 5000/= tu mie napatikana Dar es Salaam kwa wale walio mkoani natuma mzigo popote nichek whatsap kwa...
Wakuu karibu tufanye biashara
Hp laptop
processor:celeron
battery 3hrs(8hrs standby time)
color:black&slim
os:windows 10
webcamera:yes
condition used
ram4gb
hdd500gb
price460k(inazungumzika)...
Nyumba yenye vyumba 7 kimoja master, sitting room, mabanda ya uwani na from mbili za duka. Ipo barabara kuu ya Pangani - Tanga.
Bei maelewano no. 0717 720 289
Wakuu habari
Aisee hali ni tete nimeona bora tu nisukume hii pc yangu hata kwa bei ya hasara tu mana hamna namna, PC ipo katik hali nzuri wala haina tatizo lolote lile
PRICE: 300,000
PROCESSOR...
Pata nakala yako ya kitabu cha Selina, kinachozungumzia habari za vyuo maisha ya kila siku wapitiayo wanafunzi.
Kwa bei ya shilingi elfu kumi, mtunzi wa kitabu hiki ni Myovela P, ni kitabu safi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.