BEI 55 MIL
PLOT 23*20
+Unfinished house
Ina VYUMBA VINNE
KIMOJA N MASTER BED ROOM
DINING NA SITING ROOM KUBWA
CHOO NA STORE NA JIKO KUBWA
MBWENI MASITE
HAKINA UDALALI
MADALALI.MNAKARIBISHWA...
Habari,
Chama cha wafugaji wa kuku SUMBAWANGA kinapenda kuwatangazia wateja wake wote pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa ifikapo tar 1/08/2018 vifaranga vya aina mbalimbali vitapatikana kwa bei...
Kwa majhitaji ya mbwa wa ulinzi hapa ni German shepherd, Pitbull, Rottweiler, Ridgeback, Belgium shepherd, Doberman, pia nauza na mbwa wa ndani au urembo Maltese, spitz, etc kila mbwa na bei yake...
Habari wakuu, naitwa Thomas napatikana Bunju natafuta wanunuzi wa mayai ya kisasa, ni makubwa na yana kiichi cha njano ofa yangu ni 5500 derivery ni juu yangu mimi mwenyewe ni mfugaji mayai natoa...
Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
Habari wana JF,
Ikiwa una uhitaji wa gari ya aina ya Toyota model yoyote utapatiwa
Cha kufanya unatuambia bajeti yako/ofa yako na specific za gari unalohitaji
Kisha tunakupatia kwa haraka...
Habari ndugu zanguni
ZAYAD CREATIVES
New Offer! Offer! Offer!
Ndugu mpendwa, Tumekuletea suluhisho bora kwa watu wa majumbani, maofisini, mamalishe na babalishe, mahoteli, migahawa na makampuni...
heloo habarii za jion wana jamii forurm
natafuta fundi wa kutengeneza furniture za chuma
mfano vitanda vya chuma
meza za chuma
na uremboo mbali mbali za chuma
ambaye yuko tayarii...
Jipatie machine ya kisasa ya kukamua miwa.
Inakamua maramoja tu miwa, haurudii rudii kukamua.
Ina mazingira ya usafi na kichujio
chake
Tupo Kariakoo Mtaa wa Muheza/Magira
Mawasiliano: 0788622610
Habari wanajukwaa, ni kheri na wikiendi inaenda vyema kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu.
Natafuta laptop aina zifuatazo:
- HP
- ASUS
- LENOVO
Nitachukua mojawapo...
Nauza Samsung NX30 camera system .
camera body ipo katika hali nzuri kabisa original box, CDs and camera strap.
Na inauzwa pamoja na lens zake 3 kama unavyoonekana katita picha
Samsung 18-55mm...
KIWANJA KINAUZWA
KINANYUMBA NDOGO PEMBENI VYUMBA VIWILI
MAHALI
SOWETO MOSHI
UKUBWA
SQM10" 000
KINA DOCS ZOTE HALALI ZA WIZARA
BEI
MILIONI 65
CONT 0713458722/ 0688552275
Toyota Hilux D/Cabin inauzwa. Ipo katika hali nzuri sana. Haina tatizo lolote. Imekua ikitumika kwa kazi za nyumbani. Body, engine, interior vyote vipo katika hali nzuri sana
Details:
Year of...
Salaam
Zipo pikipiki mpya na used boxer pamoja na Bajaj mpya na used aina ya TVS......
Bei ya pikipiki used kuanzia milioni 1,000,000Tsh mpya Mpaka milioni 2,000,000Tsh kulingana na ilivo.
Njoo...
Habarini ndugu wana jamvi, poleni na shughuli za kila siku. Leo nawakaribisha tujadili au kukumbushana kuhusu Black Friday sale ya mwaka huu.
Black Friday inakaribia kwa kasi, kwa wale wajuzi wa...
Nahitaji chumba maeneo ya Bamaga, Ubungo, Makumbusho. kuanzia elfu 80 kushuka kimoja kiwe self na kingine single room.
Mawasiliano yangu ni: 0711456317
Tunafundisha tuitions kwa ajili ya kufanya remedials na maandalizi ya mitihani level za wanafunzi wa kidato Cha 1 Hadi 6, pia tunatoa ushauri nasaha wa kielimu na Masomo pia, Huduma zetu Ni Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.