Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kama kichwa kinavyosomeka iwe nzima au default/ yenye hitilafu na iwe ya mtumba/ used. Yenye Watts kuanzia 1kw au. zaidi Wasiliana na anayehitaji kwa namba +255693339774.
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Eneo ni Ifakara, wilaya ya Kilombero, mkoa wa Morogoro. Linahitajika trekta kwa makubaliano maalumu Nicheki 0717059799
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jipatie Timberland boots original kwa bei ya offer ya Tshs.100,000/= only.Offer hii ni ya mwezi huu tu wa 11. Wahi kuweka order ujipatie Timbs yako Original kabisa..Unaletewa ulipo kwa Dar na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaman natafuta mtu wa IT anaejua code vizuri anitengenezee online application,kma mtu yuko tayari anipe contact zake tuwasiliane
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jipatie Huduma ya Web Design/ Blog & domain names sawa na Bure kama .com, .net, .org, .co.tz , .ac.tz, kwa Tsh 30,000/ year kwa mwaka mzima. Pia tuna tunatoa huduma ya web hosting package kuanzia...
3 Reactions
149 Replies
15K Views
Tunatoa huduma zifuatazo: 1.Manunuzi ya bidhaa mbalimbali kutoka Dar kwenda mikoani. 2.Kusimamia usafirishaji wa bidhaa hadi unapokufikia. 3.kwa wafanyabiashara wa mikoani tunatoa ushauri wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
‘GININGI MOJA BEI RAHISI STATIONARY’ PATA HUDUMA ZIFUATAZO KWA BEI CHEE KABISA:- PRINTING - Black and White 200/= Za rangi- 300/= TUNAPRINT BUSINESS CARDS – 100...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wana JF, Tuna software nzuri na kwa bei nafuu kwa wenye taasisi za mikopo Kwa wenye kuhitaji kuiona inafanyaji wake kazi naomba wani pm au wanichek kwa hizo namba ntawapatia link Ahsante...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni inch 24 kampuni ya VITRON Price ni 210,000/= Locatiin: Mbeya mjini
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Gari aina ya Toyota Noah au Hiace inahitajika kwa ajili ya kusambaza vinywaji vikali Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa mwezi mmoja. Dereva ni wangu, mafuta na matengenezo ya kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo. Hdd 320gb Ram 4gb Processor 2.30ghz i5 Slim and portable Os window 10 Fast charge adapter More than 3 hours in battery Web cam Mouse...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je wewe ni mdau wa Betting na unahitaji Odds 2+ za uhakika kila siku, ninachukua tips za uhakika kila siku kutoka kwa matipsters wakubwa. Hakuna kubahatisha ni uhakika... Tips ni kila siku...
2 Reactions
71 Replies
22K Views
Karibuni shuka nzuri mtaani zinaitwa shuka za Uganda Ni cotton 100% Hazitoi vipele kabisa Kufulia omo ni ruksa kabisa. Zinafaa kutandika na kujifunika Ukubwa ni 6*6 Zinatosha Godoro nch 10...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakuu, naomba kujuzwa juu ya bei ya jumla ya viti vile vya Cello vyenye miguu ya chuma pamoja na meza. Nataka nifanye biashara ya natural juice bar.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kutoka kampuni ya Zola pekee unapata Sola Imara na betri pekee zilizotengenezwa kwa madini ya lithium ion zenye maisha marefu na vifaa vyakee kama TV za size tofauti ,taa zenye mwamnga wa kutosha...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Naweza ipata wap hapaa mjini hii.
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Habari za wakati huu Mashine za kuchanganya malighafi kwa ajili ya kupata savuni ya maji zinatengenezwa na kuuzwa. Kwa wakati huu ipo ya size hii Kuchanganya lita 50 kwa nusu saa. Inatumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tuwambie wapi ulipo unavuna nn au wanavuna zao gan kama wewe si mkulima na bei yake. Thread itakua endlevu.Karibuni! Naanza Mkoa wa Mtwara hapa zao linalovunwa ni korosho bei ya mnadani ni...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Natafuta chumba na sebule kwanzani mtoni mtongani, kwaazizi ali mpka temeke mwisho cha60
1 Reactions
1 Replies
999 Views
Back
Top Bottom