Wapendwa wanaJf najua hizi bidhaa hata mtaani zipo!
Ila niungisheni kila bidhaa itakuwa na bonus ya leso ya cotton [emoji16][emoji16]
Bidhaa zetu zinatoka Uganda,kule wanaleta mzigo genuine...
MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES.
Tunaunda mashine imara na bora za kutotoleshea mayai.
Warrant ya miezi sita mpaka mwaka.
Tunamhudumia mteja kwa kumpatia elimu ya kuitumia,na tunamfwatilia...
Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu.
Gps car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza...
Ninauza simu ninayoitumia.
Ni Infinix Hot 6. Internal Memory ni 16GB na RAM ni 2GB.
Inakaa na chaji zaidi ya saa 18 data ikiwa ON, na siku mbili data ikiwa OFF.
Haina shida wala tatizo lolote...
Kwa mahitaji ya betri za gari . Bei nafuu
Aina za betri. Sealed Dry cell na za maji.
Saize za betri na bei ni. N 40 .75000 ,N 50 .95000, N 70. 110000, N 100 . 13000, N 120. 150000 , N 130...
Maelezo:
Gari ni mpya kabisa haijawahi kutumika ndani ya Tanzania.
Baada ya kulipia utafanyiwa usajili.
Body ndefu
Inabeba abiria 29
Engine type: KK-HDB51-FTE valve 24
Automatic transmission
Full...
Nauza madini hayo hapo chini natokea Tanga korogwe.
Hiyo ya kwanza ni change colour ya purple. Hiyo ya pili nje nyeusi lakin ndani inaonekana nyekundu.
Mawasiliano 0715831041.
Salaam!
Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5.
Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa...
Kwema humu. Mtu mwenyeuwezo wa kunitafutia magari 10-20 aina ya pick up double keebin. Either nissad hardboard, Navara , Fold Ranger , Hillux zenye kutumia diesel inawezekana kukodi hata kwa...
Habari za mchana ,Kwanza Naomba nisahihishwe spelling za kuroilers kama nimekosea
Pili wapi naweza pata soko la jumla kwa kuku aina ya kuroilers,wapo kuloires 65+ nimejaribu kuzunguka masokoni...
Viatu aina ya honeywell vina ngozi imara sana ambayo unaweza kutumia hata miaka 10.
Ni viatu vya fashion na pia ni vya mazingira magumu ,kazi na kadhalika
Size 42 au namba 8 Napatikana Dar,hata...
Pata wireless CCTV camera zenye umbo la bulb (spy camera) zinazotumia memory card kwa offline mode au WiFi kwa remote monitoring.
Zinawaka kama bulb za kawaida hivyo ni ngumu mtu kuzitambua kama...
Habarini wakuu.
Kabati la mbao linauzwa ( sio mchina).
Receipt ipo.
Jipya kabisa, kwaajili ya utunzaji mzuri.
Linapatikana kimara mwisho.
Bei ya mwisho 220k.
Picha zipo chini.
Ukilipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.