Karibu Hawa_Mitumba kwa mitumba Grade One kwa bei nafuu kabisa .
Blazers za kawaida kuanzia 5000 hadi 8000
Chiffon blouses sh 5000
Tupo mkoani Mbeya maeneo ya Chuo cha MUST
Mikoani tunatuma kwa...
Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo
Hdd 320gb
Ram 4gb
Processor 2.30ghz i5
Slim and portable
Os window 10
Fast charge adapter
More than 3 hours in battery
Web cam...
Habar wadau,!!? Nahitaji friji kubwa kias lenye milango ya vioo kwa bei nafuu.....
Napatkana Moshi~Njia panda.....0718321418 kwa Whatsapp,call au sms.....
Habari ya mchana wadau nina zulia futi 10 kwa 10 naliuza tsh 200,000 mazungumzo yapo lipo katika hali nzuri tu nimehamia nyumba yenye tiles naona bora nilisukume tu nishavurugwa location Dar es...
Gari inauzwa,4WD, manual, ni nzima kabisa.AC pia inafanya kazi.Gari iko dsm, Sh 16,000,000,mazungumzo ya bei yapo.Tuwasiliane ktk 0714-796778 au 0628-615685
Nyumba/ kiwanja kinauzwa. Kiwanja kina upana wa ft 25 kwa ft 35 Nyumba hii inapatikana eneo la Ukonga - Mongolandege. Ni umbali wa KM 1kutoka barabara ya G/Mboto. Nyumba ina:
1. Public Toilet
2...
Nauza viwanja Eneo la Msongola Mlandizi vyenye ukubwa wa kutosha na kwa kuwa Msongola ni Mji unaokua kwa kasi hautajutia pesa zako.
Panafaa kwa kilimo na ufugaji.
Pia, kwa mawasiliano 0620639519
Wakuu,
Naomba kujua wapi naweza kupata (kwa kununua) vitu vifuatavyo;
1. Mashine za kisasa za kukatia nyama buchani. Nataka kuwa tofauti na zile bucha za mashoka na mapanga
2. Vifungashio vya...
TATIZO LA KUVUJA KWA UMEME (EARTH LEAKAGE)
Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa...
Ebhana ndugu zangu katika hatakati za hapa na pale nimekutana na ndugu yangu tukaongea mengi mengi mana yeye ni dalali lakin mwisho wa siku kuna kipengele kikajitokeza kwamba kuna sheli inauzwa...
Tunanunua Mashudu ya Alizeti kwa tani zozote ulizonazo.
BEI: 290/= kwa kilo.
Mzigo tunaupokelea Dar es Salaam.
Mashudu meusi kabisa ambayo hayajasagwa.
Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
Salaam,
Nyumba inapatikana Kimara (corner). Meter 300 kutoka Morogoro road. Inatumika kama nyumba ya kulala wageni.
Ina vyumba 10 (vyote ni master). Iko ndani ya fensi, Huduma zote muhimu zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.