Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI. Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kuna mtu anafahamu eneo au kikundi au shirika ambalo linadharisha vifaranga wa kuku aina ya Kuroiler hapa Tanzania hususani Mwanza, naomba anifahamishe. Kuroiler ni kuku kutoka india na pia...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu salamu. Nahitaji IST ya mkononi kwa bei isiyozidi 8M. •Rangi iwe silver, blue au grey •Iwe ya kuanzia mwaka 2004-2002 •Isiwe imechoka sana. Kwa mwenye nayo na anataka tufanye biashara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
DRIP IRRIGATION SYSTEM &GREENHOUSE (KWA GHARAMA NDOGO ) Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone(matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau nauza Excavator HITACHI Zaxis 210 LCH. Lipo Mbeya wilaya ya CHUNYA Bei ni 130,000,000 maongezi yapo. Lipo vizuri na mashine yake haijawahi kufunguliwa. Wasiliana nami kwa Namba zifuatazo:-...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wandugu, napenda niwashirikishe wale wapenda maendeleo wote katika fursa ya kuuza vocha zote za mitandao yote ya simu kupitia line ya simu uliyonayo, wazungu wanaita online vocha...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Kama kichwa kinavyojieleza nauza ps3 fat ikiwa complete na pad zake pamoja na games zake Location ni Mbeya mjini, nicheki pm if interested Nicheki kwa Whatsapp 0787632064
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama yupo mtu mwenye product hiyo wakuu aje tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili ya sayansi, na ninafanya utafiti wangu kwenye aina moja ya sumukuvu (Aflatoxins) inayopatikana sana kwenye mahindi, alizeti, na karanga. Ninahitaji kujua...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Habarini za asubuhi waungwana. Nina jamaa yangu hapa ahamia kikazi Chalinze. Anaomba kujua upatikanaji na bei za nyumba ya kupanga kupitia mwenye nyumba au dalali.... Nyumba iwe .... A. ukuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibu unipatie korosho za brown (kuoka) tamu na zenye ubora,Tsh. 28,000 kwa 1kg, nusu kilo Tsh.14,000 na robo kilo Tsh. 7,500 ,kwa Dar deliver ipo na mikoani utatumiwa, tupigie 0755931083
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau wa jamii forum nauza pikipiki yangu aina ya TVS star hlx 125.. Napatikana Ukonga Dar es Salaam. Price Tshs.920,000/= Hakuna udalali Mhusika ni mimi mwenyewe Call 0652015525
0 Reactions
8 Replies
3K Views
MAAJABU YA ASALI YA NYUKI WADOGO KM HUYAJUI PITIA DAKIKA 2 Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu kama chakula na tiba kwa maradhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sabufa aina ya SeaPiano SP -871 inauzwa kwa bei ya Tsh 75k(bei ya mwisho)...Nimepatwa na shida inabidi niitatue mara moja Ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na kila kitu kipo hadi boksi Nipo Majohe...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Natafuta soko la passion. Nipo Dar. Mwenye kuitaji karibu sana. Tuma msg; 0712729015
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wasalaam wandugu nanua gari aina tajwa hapo, kimuonekano ni jamii ya Carry/kirikuu lakini ni kubwa zaidi yake. Kwa yeyote mwenye kuwa nalo iwe personal or show room PM me.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wapendwa. Nahitaji mtu wakununua viazi mviringo kuanzia roba 40 nakuendelea.ninavyovyakutosha vinapatikana Njombe Wilaya ya Ludewa kata ya milo. Debe moja nauzwa kwa shilingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Viti vizuri kwa ajili ya mikutano na sherehe au shughuli yoyote uliyonayo tunakodisha. Viti vipo karibia 200 pamoja na viti vya maharusi, muziki pia unapatikana. Kama wewe ni mkazi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brand New Ice Cream Machine inauzwa, capacity yake ni 22ltrs, ya kuweza kuweka flavor tatu tofauti (midomo mitatu), pamoja na mashine ya kutengenezea cone zake, capacity yake ni 50-60 pcs kwa saa...
0 Reactions
12 Replies
18K Views
Ni nzima haina tatizo lolote haijawai kufunguliwa, ina speaker mbil na ina nafasi ya kuongeza speaker nyingne. Ni mtumba original haina Bluetooth ila ina tumia waya wa 2 in 1 kuchomeka kwenye simu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom