Samsung galaxy J5 plus imetumiwa miez mitatu tu bei 3.5k (laki 3 na nusu).
3GB RAM
storage 32 GB
camera ya mbele 8MP
camera ya nyuma 16MP
4GLTE
microchip
Tunauza mbuzi wa maziwa aina ya Norwegian goat wenye kukamuliwa liter mbili adi tatu ukimlisha vizuri na niwavumilivu wa magojwa pia wanazaa mapacha watu kwa bei zetu ni
#mbuzi mwenye mimba...
Habari zenu ndugu?
Husika na heading hapo juu. Natafuta engine ya gari aina ya Toyota Cami ya mwaka 1999/2000 inafanana pia na Daihatsu Terios Kid 1.3cc.
Zingatia mwaka wa gari, na engine ni ile...
Habari wanajamii forum. Natafuta chumba single maeneo ya ubungo kisiwe mbali zaidi ya dk10 na barabara pia nyumba iwe na hali nzuri pamoja na maji ndani. Bajeti yangu ni elfu 50 kwa mwezi. Kisiwe...
Wadau nahitaji kusafirisha mizigo, familia inahamia Musoma kutoka Morogoro. Naomba kuunganishwa na watu wa malori yanayotoka Dar kwenda Mwanza/Musoma.
0621457795
Fundi wa madishi nipo hapa kwa mkoa wa Dar es salaam.
1. Nafunga madishi ya aina yoyote.
2. Napachika Tv ukutani.
3. Nafanya pia kazi ya umeme (wiring mpya, kurekebisha shoti, kufunga mafeni na...
NISSAN X-TRAIL VS TOYOTA HARRIER
CAPACITY; harrier ina uzito mkubwa zaidi kwa kuwa na maximum weight ya 2700Kg lakini x-trail ina uzito wa 2170 Kg lakin x-trail ina nafasi kubwa ya kubeba mpaka...
Karibu katika group langu ambalo utajifunza kutengeneza dawa za asili
Ukitaka kujiunga katika group tuma namba yako ya whatsapp PM
Mafunzo yataanza tarehe 15 / 11 na kuisha 15 / 12
Hii itakua free
Tcl led 40d2700 smart tv nch 40 used
Tcl smart tv fullhd resolution ina access ya internet yaani ni smart tv so iko na ethernet/wi-fi wireless so unaweza connect na simu yako or router nakuacces...
Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu.
GPS car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.