Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nadia type SU inaunzwa milioni tano Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau habari? Kuna mdau anahamia mkoa wa mbali kikazi na kwa sababu hiyo ameamu kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndani kama ifuatavyo: 1. Sofa (za watu wawili*3), 2. jiko la gesi la kioo (2...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Vitu tajwa hapo vinauzwa, sofa mbili, fridge, meza na kabati. Vyote bei 400,000/- Muuzaji anahama yupo Dar. 0714 260 266 0625 627 164
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nahitaji kujua bei ya cooler box kama inavyoonekana katika picha. Kwa ajili ya biashara ya maji na vinywaji vingine vinavyohitaji ubaridi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gari iko kwenye hali nzuri Haidaiwi wala haijawahi kupigwa rangi Automatic gear 4wd Petrol engine Bei ni mil6, maongezi kidogo yapo Njoo 0763969066 tuzungumze Gari iko dar kigamboni
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza king'amuzi cha azam chenye dish lake pamoja na TV inch 21 ain ya Mr. UK vyote vikiwa na remote zake. Bei yake ni laki tatu (300,000) kwa vyote. Viko Dar, Nichek PM tufanye biashara...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa... kwa mara nyingine tena, ninapenda kuchukua fursa hii kutangaza kitabu cha ZAWADI YA USHINDI cha BEN MTOBWA kwa wale wote wanaohitaji. Bei ni shilingi 7000. Mpaka sasa...
2 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari wapendwa. Mimi ni kati ya watu ambao tupo jf na tunaonaga mara kwa mara watu wakiibeza biashara ya forex. Tunachokifanya tunaishia kusoma comments na kutulia tu. Mnaoamini kwamba forex ni...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Duka liko mbagala kibonde maji mbele kidogo ya zakhem, ni sehemu nzuri kwa biashara hususani mahitaji ya nyumbani ila naliuza kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu..friji na frizer vyote...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za wana JF, Mimi natafuta shamba la kupanda miti aina ya Pine, for export. Natafuta kuanzia 100,000 hectares and above. Nitashukuru nikipata msaada haswa nikipata sehemu za Iringa, lakini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Samaki aina ya kambale wanapatikana kwa bei ya 8000/= kwa kilo. tupo Kimara Suka Njoo uchague mwenyewe kutoka bwawani. karibuni sana. mawasiliano 0762397421
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu nyote kwa ujumla. Bila kupoteza muda nilikuwa naomba nielezee tatizo hitaji langu nilikuwa naomba kufahamu ninwapi naweza kupata Betri za Rongta mini thermal printer kwa aliye nazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, nimejichanga na kufikisha kiasi cha fedha tajwa hapo juu. Naishi Mwanza mwenye kuuza hilo gari tuwasiliane kwa simu no 0767932386. Popote litakapo patikana ndani ya nchi kwa bajeti...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu Wana If, Tunatoa Huduma za Bima zifuatazo 1.Bima za Magari/Vyombo vya moto 2.Bima za Afya 3.Bima za Safari 4.Bima za kusafirisha mizigo 5.Bima ya nyumba 6.Bima ya moto 7.Bima dhidi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji engine ya Noah complete kutoka Japan ambayo haijatumika nchini. Mawasiliano 0692 477 837 pia unaweza kunitumia picha kwa Whatsapp nipo Dodoma
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo vip? Nina vitunguu maji zaidi ya gunia 80. Viko shamba Morogoro, Kijiji cha Msowelo. Nitauza kila gunia Tsh. 80000 tu. Sina mpango wa kuleta mjini wala Dar sababu yalinikuta makubwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kibanda kizuri cha kufanyia uwakala, kinachohamishika kinauzwa. ibanda hicho kipo Mwenge karibu na Bodi ya Mikopo. Bei ni laki tatu tu (300,000/=) Mawasiliano;0765494548 picha ya kibanda hio
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom