Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Call:0679531937/0754405179/0689378424 Mark 2 Grande Gx110 Year:2001 1980cc,1g vvti Haina tatizo lolote/Haidaiwi/Full AC Bei:Milioni 4.5 Ipo:Kariakoo NOTE:MIMI NDIO MMLIKI WA GARI
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Simu ni mpya kabisa. Fingerprint: YES Phone 0693 189 401.
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Natafuta Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti ka kuna MTU yeyote anayehusika na uuzaje Mashine hizo..Naomba tuwasiliàne kwa namba hii:+255758136016 Nipo mkoa wa Rukwa,tz
1 Reactions
6 Replies
16K Views
WAKUU NAHITAJI CHUMBA AU MWENYE ANAPANGISHA VYUMBA MAENEO HAYA TAFADHALI AU HATA -Anayejua chumba maeneo ya Mabibo hostel, Sinza, Changanyikeni,Survey,Makongo juu,Ubungo External, Mwenge na River...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Nimekuwa nikiona wengi hasa wakaanga chips wakitumia hizi pumba zenye moto mkali sana kama chanzo cha nishati ya moto.Kwa mwenye uhitaji please awasiliane nami maana ninazo nyingi uwezo wa kujaza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KWA MTU YEYOTE ANAYEWEZA KUNITENGENEZEA PRINTED BUSINESS CARDS PAMOJA NA FLIERS/BRONCHURE KWA AJILI YA HOTEL ANICHEKI KWA 0755544219. UBORA WA KAZI NA BEI VITAZINGATIWA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza Excavator Hitachi Zaxis 210 LCH Tsh. 130,000,000. Mazungumzo yapo kwa muhitaji. Excavator ipo Mbeya Wilaya ya Chunya. Mashine yake ni ya ISUZU, ipo vizuri sana kwa maana haijawahi kufungiliwa.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba ni ya tatu kutoka beach ina vyumba 4 self Ukubwa wa plot 1200sqm Bei 450,000/= USD Maongezi zaidi check ni kwa :- 0756060183
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Camera canon 5d mark ii Lenz 28-105mm hii lenz una option zote wide 28mm mpaka 35mm then unapata 50mm na pia ukika potrate focal length 85mm still unapata unaenda hadi 100mm ambayo ni macro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio ni uhondo wa subwoofer aina ya boss yenye volume 62 bei ni laki 130.000 inatumia bluetooth, memory card, flash, usd pia unaweza kutumia pamoja na dek na tv mikoani natuma dar nakuletea ulipo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Nataka kuanzisha Online TV. Je ni vitu gani nahitaji kuwa navyo vya msingi kabisa? Je nahitaji kulipia bei gani (ni ya kidini, siyo kibiashara) Msaada tafadhali. Na kama mtu yupo tayari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau bila shaka mpo salama Kwa machinga,mfanyabiashara au mdau yoyote wa bidhaa za urembo jijini Mbeya naomba mnielekeze ni wapi ntapata bidhaa hizo kwa bei ya jumla na kwa bei nafuu pia...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Sasa ipo rasmi Septemba Mosi, 2019 mtashusha bei baadhi ya vifurushi, inatakiwa mfahamu sio wote wanaomiliki ving'amuzi vya Dstv ni wapenda kandanda, yupo mteja analipia kifurushi cha Bomba...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwenyewe anahamia Dodoma Viko maeneo ya mkuranga town Kabati la nguo milango miwili (mlango mmoja kioo) tv showcase ya mbao ya mninga na radio kubwa Kabati na tv showcase 150k kila moja. Radio...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Natafuta frem isiwe mbali Sana na Ubungo kwa 50000 au kushuka.
0 Reactions
0 Replies
659 Views
MASHUKA MASHUKA MASHUKA Pata mashuka ya cotton nzito kwa bei ya jumla na rejareja. Mashuka yanakuwa mawili king size futi 7kwa8 yanafit godoro lolote. na foronya 4. Kuna 7/8 ina shuka 2 foronya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Novels ziko nyingi sana. Na zote ziko well selected, ni story za kusisimua Call/ Sms/ Whatsapp 0688616402 ujipatie yako Tunapatikana Dar es Salaam, nje ya hapo pia utatumiwa Holiday season...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Atakayenunua earphone leo kwangu atajipatia na card reader/adapter ya bure. Earphone ni 6000 tu bei ya offer. USB cable wire ni 6000 tu urefu wa mita moja. Offer hii ni kwa leo jumatatu na kesho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shule ya msingi Top Layer Pre &Primary School iliyopo kimara bonyokwa imeshusha ada zake zilizokuwa zikilipwa 1,200,000 kwa Primary na kufikia 850,000 na nursery kutoka 850000 kufikia...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Mwenye frem anitafute kwa namba nitakazoweka hapa chini. Hata kiwe kibanda tu sawa. Namba 0754650875
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom