Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Size: 5 x 6 Kipo Tabata Barakuda Bei: 160,000/=
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpo wengi mnaofanya hiyo biashara, ili Mteja aweze kukumbuka na kukutofautisha na wengine lazima uwe na logo(Nembo) inayotambulisha biashara yako. Karibu Ujipatie Usanifu(Designing) bora kwa bei...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau! Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, Nina hekari 6 zipo chalinze barabara ya kwenda moshi, unashukia kituo cha mboga, kutoka barabara kuu ni mwendo wa dakika 8-10 kwa bodaboda, kipo jirani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji chumba cha kupanga Location: Moshono au Njiro Conditions: double self, umeme wa kujitegemea, kisiwe mbali na barabara Budget: laki mbili (200,000/=) Kwa yeyote atakae weza kusaidia kwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaefahamu ni sehem gani kwa Dsm ninaweza kupata bidhaa tajwa na bei yake. Ni kwa ajili ya kusafishia viatu badala ya kutumia sabuni zetu za unga na kuanika kwenye jua...
0 Reactions
8 Replies
752 Views
Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?'' Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wateja wetu juu ya hizi simu za iphone kutoweza kutunza chaji, watu wengi wana lalamika kuwa simu hizi hazina uwezo wa kutunza chaji. Je umeshawahi...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari. Pata kikombe chenye nembo yako pamoja na jina unalohitaji Bei 12,000/- ,Tunapatikana Dar es salaam , Mawasiliano 0714890018 .
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu bado mpyaa kwa 300k tu (fixed). Ina RAM 4GB, Storage 32GB, na ina fingerprints. Nichek watsapp 0659426390 tufanye biashara
1 Reactions
0 Replies
635 Views
John Deere, kampuni yenye uzoefu wa muda mrefu katika uzalishaji wa zana za kilimo na matrekta, imeingia Tanzania na inauza matrekta madhubuti kwa thamani halisi ya fedha zako. Ofisi zetu zipo...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Ukihitaji oparetor machine mojawapo napatikana kwa no.0763728022.
1 Reactions
4 Replies
696 Views
Habari zenu watu mlioko Mjini.( Dar & Mwanza & Arusha) Naomba msaada wa kufahamu bei za mabati kampuni ya alafu, hususani Gg 30 migongo midogo. Napatikana Nyancheche mpakani mwa Izyiko na...
3 Reactions
4 Replies
7K Views
Ninahitaji desktop. Iwe used, bei isizidi 250,000/=.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Naomba muongozo wa kusafirisha mtungi wa gesi (jiko dogo la gesi) , kabati (si la mbao, liko packed tayari) Vyombo vichache vikiwemo vya dongo pamoja na chandarua. Kutoka Singida mjini...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Gharama ni 6.5mil tu. Piga 0620 484 081
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Printer yangu ni canon SELPHY Cp900
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Natafuta chumba cha kupanga kiwe self na sebule yake Ofa laki moja Mtaa wowote wenye kufikika na usafir wa jamii Mwenye nacho aingie PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa maeneo ya dar wapi wanauza mbegu za maboga? Bei zake pia zikoje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ya leo waungwana, SEBABIC METAL WORKS ni wajasiriamali tunaojihusisha na kazi za vyuma (Metal works) na uchomeleaji (Welding). kwa ujumla tunajihusisha na shughuli zifuatazo:- >Steel and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kisomekavyo, nina tv langu lanisumbua na nimepeleka kwa fundi mmoja maeneo ya kawe kumbe fundi mwenyewe fundi uchwara! Kwa yeyote anayejua fundi gan mzuri wa tv anisaidie...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom