Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Karibu katika uzi huu maalum kwa ajili ya biashara ya furniture... Nitakuwa nauza furniture mbalimbali kama sofa, dinning table, vitanda, kitchen cabinets sambamba na makabati bei ya mnada...
8 Reactions
63 Replies
10K Views
Wakuu nahitaji chumba. Anayepangisha vyumba maeneo haya tafadhali naomba tuwasiliane. Au hata: -Anayejua chumba maeneo ya Mabibo hostel, Sinza, Changanyikeni,Survey,Makongo juu,Ubungo External...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ofisi zetu zipo Dar es Salaam Mwalimu Nyerere Pension Tower tunaitwa AdvaTech Office Supplies Ltd ,sisi ni kampuni ambayo imeteuliwa kama Wakala wa kuuza hizi mashine.Hakika mashine zetu ni bora...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji tena nokia Obama sita (nokia 1280) zile nokia za button imara toleo la zamani (zisizofutika button haraka kama za kariakoo za sasa hivi). Nataka nizitumie katika shughuli...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau leo nimejitolea kushare na nyie kidogo nijuacho kuhusu mabati nikiwa nimefanya kazi katika viwanda vitatu,ando roofing,quansheing na sun share badae nkawa agent. Ntaanza na mambo...
10 Reactions
55 Replies
44K Views
[emoji117] Kufundishwa namna ya kuandika= *Concept Paper + Research Proposal + Research Report* [emoji117] Kufundishwa na Kuandikiwa= *Business Plan + Katiba za Vikundi + Mpango Mkakati + Taarifa...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
PATA BLOOD PRESSURE MONITOR NA STETHOSCOPE KWA BEI POA, MASHINE HIZI ZINAKUPA MAJIBU HALISI YA PRESHA YAKO. Bei ni 80000 tu kwa set, Napatikana Morogoro kwa sasa 0742124788 au 0713491334...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
natafuta shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoa wa Iringa, njombe, ruvuma na mkoa ya jirani na hii. Anayejiona ni muuzaji halali wa shamba aniPM Kabla hujawasiliana na mimi Hakikisha shamba lako...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
-TCL tv 32", USB Port: Flash: Audios/Videos/Movies/Pictures/Docs -HDMI Ports/Deck - VGA Port/Monitor Tshs 350,000/= only. Only serious buyer, CALL: 0758 233191
0 Reactions
6 Replies
758 Views
Nakodisha mashela MAPYA na yaliyovaliwa kidogo. Bei ya ofa ya kufungia mwaka. Shela lolote utakalochagua bei ni 150,000/ wahi sasa uchague kilichobora upendeze kwenye Harusi yako Kwa bei Chee...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za mapumziko ya wiki ndugu zangu! Tumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehma kama tumejaaliwa kuwa wazima hadi muda huu kwani kuna wengi wapo vitandani wanaumwa, wengine wanaelekea kuzikwa...
1 Reactions
33 Replies
11K Views
  • Closed
Kwa mahitaji ya accessories za solar kama water pumps, solar heaters, street lights, outdoor lights, garden lights na items zote za solar orijino kutoka ujerumani pamoja na ufundi wasiliana nasi...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimehitimu form six mwaka 2017 nikapata Division 3 ya point 14, yaani PCB=DEE ambayo sikustahili kupata mkopo wa serikali, na kutokana na uchumi pia nilishindwa hata...
0 Reactions
5 Replies
774 Views
Habarini za majukumu mabibi na mabwana. Nauza simu ndogo Samsung SM-B310E double line ina torch na sehemu ya memory card pia inatumia charger ya smart phone. Nipo Mwanza. Mawasiliano 0769467836
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza laini yangu ya tigo pesa tshs.150,000 kwa mhitaji wa kibaha-pwani au DSM tu. Karibu PM
2 Reactions
0 Replies
758 Views
Tunatoa hufuma ya MAFUNZO kwa MBWA aina zote kwa ISHARA na SAUTI.... Tunatoa mafunzo ya UTII, UKALI na vinginevyo kulingana na mahitaji ya mteja pia BOARDiNG zipo bei nafuu +254758650568 whatsup...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nahitaj king'amuzi cha azam au dstv mwenye nacho anichek pm nipo mwanza
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Habari nauza King'amuzi cha antenna cha startimes kwa bei poa sh 35000/ tu kipo kwenye hali nzuri local chanel ni bure kipo DSM Kitunda mwenye uhitaji anicheki 0715992666
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yule kijana machachari asiye na macheko na hela al maarufu kama Ontario au sir_jeff Dennis, ameanzisha kongamano maalum kwa ajili ya kuwainua vijana kiuchumi na kifkra, nyote mnakaribishwa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom