Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule. Bei ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I hope everybody is ok in the house. Janga kuu la mvua zinazoendelea kunyesha ni mafuriko ambayo yamesababisha baadhi ya watu hasa wale wanaoishi mabondeni kukosa makazi pamoja na kupoteza mali +...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cheers wadau, Kwa wale ndugu zangu wanaohangaika kupata mafuta ya alizeti, tutawasaidia yanapatikana kwa uhakika na haraka zaidi. Kwa sasa madumu yaliyopo ambayo hayana oda ni 100. Tunapatikana...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Ndio Clinic pekee ya NATUROPATHIC hapa Tanzania, tunatoa huduma za kitaalam na kwa kutumia herbs na food supplements, Naturopathic Doctors wetu watakufanyia body screening ili kujua chanzo cha...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
bango kama hili njoo inbox
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Nauza laptop aina ya asus,ina muda wa miezi mitatu tangu nilipo nunua na aina shida yeyote Bei ya kuuzia ni laki nne na ishirini kwa muhitaji anaweza kunicheki pm tukawasiliana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nahitaji kujua duka gani naweza pata tents(mahema) kwa ajili ya camping trip nitafurahi nikijulishwa na bei.Natanguliza shukrani
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Computer & Mobiles Technicial Solutions COMPUTER UPGRADE, REPAIR AND SOFTWARE INSTALLATION (MAC&WINDOWS)e.g Installing Windows XP, Windows 7, Windows 8, Windows 8.1 and Windows 10(Pro, Home...
1 Reactions
1 Replies
862 Views
Habari zenu wakuu, Naomba kufahamishwa bei ya gunia ya mkaa. Nahitaji kama mbili hivi. Kama kuna mtu anauza anicheki.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JR ! Natumai wote ni wazima wa afya , bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwisho wa mwaka huu rafiki yangu anafunga ndoa lakini mpaka sasa hajajua wapi...
0 Reactions
22 Replies
44K Views
KWA NINI UPATE SHIDA ZA TYPHOID, KANSA YA UTUMBO MPANA, VIDONDA VYA TUMBO? tumia water purifier filter yenye uwezo wa kuzuia particles za vumbi, kutu ambazo husababisha kansa ya utumbo particles...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka kununua bidhaa kupitia JUMIA naomba kujua uaminifu na uhakika wa hii huduma kama kuna ambaye aliyewhi pata huduma hii anisaidie
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Habari wakuu. Kama mada inavosema. Nipo interested na hizi models; HP ELITEBOOK 840 G2 (Touchscreen) HP ELITEBOOK 840 G3 (Touch Screen) HP ELITEBOOK 1030 G3 (Touchscreen) Hp Spectre X360 Kama...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
HABARI NJEMA KWA WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA ELECTRONICS Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing; wale walio choka ku-copy na ku-paste na hivyo wangependa wao wenyewe...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
HABARI NJEMA KWA WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA ELECTRONICS Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing; wale walio choka ku-copy na ku-paste na hivyo wangependa wao wenyewe...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mko salama. Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es Salaam na ina mambo yafuatayo:- -Ina vyumba 12 vya madarasa -Ina jengo la utawala na maofisi -Ina bwalo kubwa -Ina...
5 Reactions
106 Replies
12K Views
NATAFUTA LEAD OXIDE PbO (Powder), Zinc Plates Naomba kwa yeyote anaye jua mahala pa kuipata kg 1 tu tafadhali anifahamishe, ni kwa ajiri ya laboratory tests for education purpose only aidha...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Hello. Ninashida sana ya oven ndogo inayotumia gas mwenye nayo please tuongee biashara au kama anajua bei zake kwa Dar es Salaam maana mimi nipo Mkoani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom