Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
SIDO kwa kushirikia na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) inatarajia kuendesha mafunzo ya usindikaji wa vyakula kwa akinamama na vijana mwishoni mwa mwezi Novemba 2019. Mafunzo hayo yatafanyika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
used computer for sale brand: HP Ram: 4gb HHD: 500 GB Haina shida yoyote isipokuwa haikai na charge Bei: 150,000 tshs Contact: 0712518770 dar-es-salaam
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Habari wadau...ninauza tanki lakuhifadhia mafuta.Ni yale yanayoweza kuchimbiwa chini.Lina ujazo wa lita 13,500. Bei ni mil 3.5. Angalia picha ukipenda njoo 0715436360 tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada, Nina pool table langu natafuta mtu mwenye site/sehemu nzuri kwa maana ya pub, grocery au bar kwa ajili ya kuweka pool table then tupatane malipo. Nipo tayari kuijengea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mama anauza eneo lake Gongo la Mboto alikuwa anajenga hostel akaishia kwenye renta. Ana tatizo alipata stroke anahitaji pesa ya haraka kwa ajili ya matibabu. Picha la eneo sina kufika pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf vitanda vilivyopo NI; KITANDA CHA 4/6 bila GODOLO kinauzwa laki 170,000 ni mninga, KITANDA CHA 5/6 bila GODOLO kinauzwa laki 260,000 ni mninga pia. KITANDA 6/6 #kinauzwa na GODOLO lake bei...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF Nauza kitanda cha kisasa kabisa kutoka uturuki, pia kina swing. Bei ni 480000 tu. Kwa anaehitaji kitanda kipo Upanga. Mawasiliano 06843 10866
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Shamba / Eneo linauzwa hekari 8. Lipo Wilaya : Kisarawe Kata : Msimbu Kijiji : Mwanzo Mgumu Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari tunakodisha vyumba vipo viwili ndani ya nyumba kubwa kwa bei ya 250,000 kwa kila chumba, ina seating room, kitchen, toilet na bathroom pamoja na dining room ndogo. Pia tunakodisha chumba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wajuvi wa hili nipeni gharama za manunuzi ya kuni kutoka mikoani hadi kufika Dar kwa fuso/canter Nina kijana wangu anataka kufanya biashara hii nataka kujua gharama zake ili nimpatie...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ? Wana JF polen ma majukumu ya kila siku ninashida ya kufahamu maduka nayoweza pata na kufanya manunuzi ya suti za kiume hususa kwa dar ambazo bei yake ni nafuu pia .asanteni
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Mashine ya kisasa (Home made) ya kufanyia mazoezi ya viungo inauzwa. Kupitia mashine hii unaweza kufanya mazoezi ya aina tofauti tofauti. Mazoezi ambayo unaweza kufanya kwa kutumia mashine hii ni...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mwenye kujua chumvi hii inapatikana wapi ani PM au anijuze humu 06****473 Ni nzuri kwa wagonjwa na wazee Mara ya mwisho niliipata Choppies ya Aura mall lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji betri ya simu aina ya Sumsung galax mega2. Model SM: G750F
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Kama unahitaji chumba safi ndani ya nyumba ya vyumba viwili basi nipigie 0715531232 Nyumba ipo goba karibu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, nahitaji frigi ya kununua ambayo ni mtumba yenye hali nzuri kikazi ya matumizi ya home, hata ikipataikana brand new pia siyo mbaya
0 Reactions
3 Replies
875 Views
wana jf naitaji mteja #serious apige 0677423349; sofa izo wapo 3;1:1 bei LAKI 450,000 ila sofa kubwa lakubadilisha cover: location kijitonyama Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Wana jf freeza dogo ndio iyo inauzwa laki 250,000 limechubuka tu kidogo ila lipo vizur piga 0677423349 location pugu dar es salaam
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tuwaliniane kwa 0688767668 or 0715967107 Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil Autoguruworkshop
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Habari za leo wakuu? Mimi ni mjasiriamali nlioamua kujaribu pia na kilimo, shida yangu kubwa ilionifanya niandike uzi huu ni kupata kujua soko la zao la mpunga na bei elekezi kwa gunia la kg...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Back
Top Bottom