Habari wana jamii forums natafuta ninunue gari iliosimama hardtop single cabin landcruiser pickup model iwe juu ya 2010 macho ya panzi niko serious offer yangu 65million
*PATA VITU VIFUATAVYOO USED*
Sofa zipo tatu kila moja 170000
Meza ya kioo 250000
Meza duara urembo 130000
Dressing table elfu 60 tu
Meza ya jikoni laki moja na 20 ina droo zake
Friji zipo nne...
1. Iwe mitaa ya karibia na Ubungo; isizidi kimara Korogwe kutokea Ubungo.
2. Eneo liwe linafaa kwa biashara ya Saluni ya kiume. Mtaa uwe umetanuka (Uswazi)
3. Bei iwe rafiki, 60k TZS (Kama zaidi...
Wazima?
Mimi huwa nimebase sana kwenye cosmetics na electronics kidogo
Nanunuaga aliexpress hata kwa jumla na site nyinginezo
Sasa naona alibaba vitu ni cheap sana issue inakuja ni shipping...
Kwa bando la Voda GB.60 Yaani GB.10 kila MWEZI Kwa Miezi 6
applications maalum ambazo nitakupatia zenye uwezo wa ku bypass traffic za provider wako wa internet na kukuruhusu wewe mtumiaji...
Bodi ya mikopo imetoa majina awamu ya pili kwa wanufaika na mkopo wa elimu ya juu 2019/2020!
Katika hilo mdogo wangu hajabahatika hadi sasa kwa awamu zote mbili na kila ninapoingia kwenye...
Ina vyumba vitano bafu na choo ndani, ina vyumba vingine uwani viwili vyenye choo na bafu, ina eneo kubwa kwa mbele na nyuma pia ina eneo kubwa, gari inafika hadi mlangoni
Bei milioni 46...
Wakuu nawasalimu nyote,kuna tv flat inch 25 SINGSUNG toleo la kwanza kabsa kitu og imetumika miezi miwili tu inauzwa kwa Tsh 220,000/=
Kwa serious buyer njoo pm au call 0657955212
wahi mapema...
Mwenye Spare zifuatazo za landrover freelander (1998) anichek
Kioo cha mbele
Control box
Dash board
Taa za nyumba mbili moja ya juu nyingine ya chini
Cv joint
Brake system ,
Call /Whatsap...
Kama kichwa kinavyojieleza. Nahitaji mfumo rahisi utakaonirahisishia mahesabu katika kampuni. Yaani uwe na;
Ninachotarajia kukusanya
Nilichokusanya
Nilichotumia
Ninachodai
Ninachodaiwa
Pia...
Hii biashara nakumbuka ilivuma sana miaka ya 2012-2014. Tuliambiwa mayai haya yanafaida lukuki za kiafya lakini Sijui ni nini kimetokea maana yamekuwa adimu kweli kweli.
Mfano, leo nimezunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.