Karibu mteja kutoka jf ujipatie sofa la watu 2 ni full NGOZI unapangusa tu vumbi likichafuka, sofa hili linauzwa kwa sababu kunashida na inatakiwa hela ya fasta bei laki 250,000 njoo uchukue kama...
Ninauza kalamu zenye kamera na Saa zenye kamera.
1. Kalamu yenye kamera bei @ 65,000/=
2. Saa yenye kamera bei @ 110,000/=
Vifaa hivi ni vipya. Napatikana Dsm maeneo ya temeke
Habari wapendwa,
Leo nimeamua kuwaletea vitabu vya Kiswahili ambavyo vingi kupatikana kwake ni ngumu na hata vingine vilikuwa vimefungiwa kutokana na maudhui na mafunzo ndani ya vitabu hivyo na...
Ninatafuta chumba kiwe na choo ndani na kiwe kikubwa au chumba ,sebule na choo ndani pia luku iwe ya kujitegemea . Eneo! Kuanzia ubungo mawasiliano hadi mwenge . Phone 0657366601
Sent using Jamii...
We are registered company deals with;
House plan design and certify,
Site consultation and supervision,
Design and Installation of building services (water supply and waste water system, AC, CCTV...
Habari za kazi wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna dogo anakuja Dar kujiunga na masomo so namtafutia chumba/Hostel eneo tajwa hapo; hasa mabibo mpaka ubungo hicho kipande. Kama kuna...
Salamu kwenu wote.
Nahitaji kununua Electricity Inverter yenye capacity ya 3000 watts yenye uwezo wa kuconvert dc 24volts to ac 240 volts.
Kwa yeyote mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza...
Kwa mahitaji yote ya Series nzuri zilizowika kitambo na zinazovuma kwa sasa, fanya kunicheki PM
Bei zangu ni rahisi mno na zinapungua kulingana na ukubwa wa mzigo unaochukua
Vyote vinapatikana...
Nauza sabuni za magadi kutoka Kigoma original kabisa katoni bei ni Tsh Elfu thelathini (30,000) na inakuwa miche ishirini (20) kwenye katoni.
Call : 0788 929 673
Whatsapp: 0742 066 161
Karibuni sana
Hii ni offer Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema ujipatie chako, bei yetu, Sasa ni Milion 1.3 tu.
Tunauza Viwanja vizuri sana Vilivyo katika mpangilio mzuri wa mitaa. Ukubwa...
Habarini,
Nina shida na wazalishaji wa vifungashio vya viburudisho (snacks) kama vile vya chips snack, diamond karanga au kahawa!
Naona kwa Tanzania vimekuwa na ugumu kupatikana kidogo ila kama...
Hellow wadau nahitaji kuanza kutengeneza sabuni ila nahitaji kujua hizi materials bei yake na zinapatikana wapi?
Lengo ni kuweza kujiandaa kifedha baada ya kujua bei ya kila material
Napenda...
Ndugu wan JF wenzangu,
Nawasalimia.
Kwamtu yeyote aliye na contacts au anayejua wanunuzi wa asali (asali genune) walioko popote Tanzania hususani Dar naomba anisaidie contact zao au ili niweze...
Habari za saa,
Kama kichwa cha ujumbe kinavyojieleza.
Natafuta banda la kufugia kuku / eneo la kufugia kuku (chotara )
Bajeti niliyonayo haitoshi kujenga kununua eneo na kujenga banda. Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.