Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja cha makazi kinauzwa. 1. kigamboni gezaulole 2. Ukubwa sqmeter 1326 3. Kipo mkabala na fukwe ya bahari. Koko 4. Kimepimwaa na hati ipo mkononi. 5. Umeme umefika mpaka kiwanjani. 6. Low...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Msaada tafadhali, kwa anayefahamu hii bidha inapopatikana kwa mkoa wa Mwanza au ni maduka gani naweza kuulizia nikapata
1 Reactions
3 Replies
945 Views
Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ilishauzwa.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza nyumba kwa bei ya tsh 14m tu. Nyumba ina vyumba vitatu pamoja na sitting room. Pia ina umeme na ipo karibu na huduma ya maji. Ina eneo kubwa. Nyumba ipo Morogoro mjini kata ya Kihonda 1km...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza iphone yangu ni iphone 7 32gb bei 1milion ipo vizuri ina kila kitu chake location mbeya
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Biashara ya iphone 6 kuendelea nauza anaetaka simu 0763184573 Kama upo siriazi nicheki
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza iPhone 4s kwa sh 60000 inatatizo la betri limevimba kama inavyo onekana kwenye picha . 0657623266
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Rav 4 Old Model inauzwa Million 13.5 ipo katika hali nzuri Nicheki kwa 0718234465
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Wakuu naulizia wapi nitapata proffessional short course ya kurekodi video na kupiga picha kitaalamu Kwa kutumia digital camera au video shooting camera, natafuta ujuzi wa hvi vitu hasa Kwa mambo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vifaranga wa bata mzinga wanapatikana kwa bei ys Shilingi 15,000. Kwa watakaohitaji wakuje kupitia namba hii 0753249862. daslam
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ram 8gb hdd 500gb chaji yake inadumu masaa 3 Tsh 280,000/= 0656476747 0692498691
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unahitaji ng'ombe au mbuzi wa kisasa? Habari wanajamii, Soma kipeperushi kilichoambatanishwa hapa chini, Wanyama hawa wanapatikana Kenya, ni pure breed, Bei zinatofautiana kulingana na umri nk...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la kuuza banda la kuku 400 na kwa haraka wanaojua nini maana ya ufugaji walichukua siku ya pili baada ya kupendezewa nalo. Na wadau wengi walinipigia simu...
4 Reactions
9 Replies
38K Views
Habari wakuu Nauza simu iko poa kabisa kwa anayehitaji anipm nitafute kwa 0622269523 tufanye biashara Specification *storage 16gb *Ram 2gb *network 3g Serious buyers are only needed here Nipo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
shamba lenye ukubwa wa ekari 71 lilikopo mkuranga(Msolwa) shamba lipo sehemu nzuri kuna kiwanda na shule private karibu, upande wa kusini na mashariki kuna kijimto kidogo ni pazuri pia kwa wapenda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
CHUKUA TAHADHARI MSIMU HUU WA MVUA. Ni rahisi kuhatarisha maisha yako, ya abiria wako, ya watumiaji wengine wa Barabara na chombo chako pia iwapo utakuwa na taa zenye mwangaza hafifu. CHUKUA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam waungwana! Katika kujaribu kuendana na kasi ya Mh. Rais nimefikiria kufungua stationary kama kazi inayoendana na taaluma yangu ya ualimu nimeona itanifaa. Katika hilo basi naomba ushauri...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
habari zenu wana jf.mimi nna ruby lakini ni high caboshon toka longido..natafuta soko la uhakika..kama kuna mtu ana connection nzuri afahamishe..asanteni
2 Reactions
13 Replies
9K Views
Nahitaji fundi aliyebobea kwenye hiyo kazi hapo juu, ambaye yupo Mwanza. Nina kazi hiyo anitafute tuongee.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom