Habari zenu rafiki zangu wa jf; kwa yoyote anae itaji printer machine basi tuwasiliane, hp printer machine inauzwa laki 350,000 SIFA ZAKE; ina print, copy, scan pia inatoa picha za passport size...
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km...
Weka oda yako nikutengenezee kitanda cha sofa.
Bei zake
4 kwa 6 laki mbili na ishirinI.
5 kwa 6 laki tatu na ishirini
6 kwa 6 laki nne na thelasini.
usafiri BuuUuuuure kwa wakazi wa DAR...
Tunaitwa dogoodesign tunapatikana Kimara-Baruti tuna-deal na uuzaji na utengenezaji wa vitu mbalimbali. Karibuni!
KARIBU DOGÒO_DESIGN @dogoo_design @dogoo_design @dogoo_design
TUNAHUSIKA NA...
Karibu mteja kutoka jf, njoo ujipatie kitanda safi 6 x 6 ni imported bei laki 350,000 tafadhali kama unaitaji wewe Nipigie 0677423349 location kigogo dar es salaam
-Nyumba itakuwa na vyumba vitatu,kimoja master.
-itakuwa na jiko,store,dinning,lounge na veranda.
99squire meter,inachukua eneo la 14/17m.
Idadi ya tofali za block ni 1383
Idadi ya tofali za...
Business website for sale
Nauza website ambayo imeshafanyiwa kila kitu nitaendelea kutoa ushauri kwa mnunuzi mpaka pale atakapokuwa na uelewa website ni ya biashara na inaeleweka na imetengenezwa...
Naomba mwenye kuyajua makampuni yanayouza mirija ya umwagiliaji (drip irrigation systems) anisaidie majina na namba zao za simu. Sitaki wakala, nataka kuyajua makampuni yanayoagiza kutoka nje na...
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyosomeka nauza vitu vifuatavyo jiko la gas mtungi mdogo, kitanda na godoro lake, zuria, feni, kikabati kidogo, stand ya viatu, rice cooker, stand ya...
Habari wanaJF,
Naomba sana mniunge mkono kwenye mradi huu wa kukodi popote upatapo Harusi, Misiba ama Shughuli yoyote.
Tupigie kupitia 0712-156565 na 0672-444447.
Bei zetu ni Tzs50,000 kwa Tent...
Habari wakuu kuna frem zakupanga kwa matumizi mabalimbali:
Mwenge ninazo nane, Sinza zipo zaidi ya kumi, Mbezi makonde ninazo mbili, pia zingine zinapatikana, bei ya chini kwa ambazo ninazo kwa...
Habar za muda huu wadau. Nahitaji Kitanda na Godoro vilivyokatika hali nzuri. Nipo Dar, kwa anaeuza tuwasiliane 0627929637.
NB: vinahitajika haraka. Nategeme kupata mgeni wiki hii. Njoo na bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.