Habari Wakuu?
Mimi ni mgeni wa jiji hili la Dar es salama Natokea Mbekenyera -Lindi, Naombeni maelekezo ya kufika Mikocheni B nikitokea Mbagala rangi tatu.
........Natakiwa nipande gari za wapi...
Habari waungwana..!
Nauza Laptop zilizotumika, bei kuanzia 150,000/= na kuandelea..
Pia tunatengeneza Laptop na Desktop (Computer Maintenance)
Hard Disk, Ram vinapatikana pia.
Niko kariakoo...
Wadau heshima kwenu.
Kwa mfugaji wa nyuki au mfanyabiashara wa asali na NTA, nahitaji NTA yenye ubora kutoka shambani kwako.
Uwe tayari kutuma sample angalau kg 2 ili kuangalia ubora wa NTA yako...
Ishi kistaa na kambele investment; Viwanja vya mkopo lipa mdogo mdogo bila stress bila bugudha.
Viwanja vipo Boma ya Ng'ombe 20*20 million 2.5, na Arusha viwanja vipo Kikatiti & Maji ya Chai...
Itel P13
Imetumika kidogo na haina shida
Internal memory 8gb
Ram 1gb
Charger
USB cable
Earhones
Box lake
Simu iko Tegeta Dsm
Mawasiliano:0714-796778/0628-615685
Hellow forum members.
I would like to inform you on my royal services. Anyone who is in need of a relaxation massage in Mwanza city kindly check me on 0759 026 697 or email at...
Habari wana jukwaa,
Napenda kuwakaribisha kupata huduma ya massage kwa jiji la Mwanza na viunga vyake kwa bei nafuu kabisa ili kuimarisha afya yako na kuondoa maumivu.Tafadhali piga 0759026697...
Kwa mwenye nayo wakuu,,nimeingia rasmi kwenye kilimo ila water pump ziko juu kidogo dukani, kwahyo mwenye nayo used tunaweza kuongea tuuziane kwa bei ya kupoa
Au anayejua duka ambalo naweza...
Wakuu habari zenu?
Nimeanza kilimo cha mboga mboga na Nashukuru Mungu mpaka sasa naendelea vizuri na kilimo.
Changamoto kuu niliyo nayo ni Water pump. Nilikuwa naomba Kama kuna mdau anaweza...
Nilipata mteja juzi juzi tu humu wa line zangu, ndio maana nimerudi na nyingine tena.
Hizi hazijasajiliwa kwa jina langu. Zipo Njombe. Aliyezisajili yuko nje ya nchi (bado nina mawasiliano naye)...
Karibu mwana jf mjipatie king'amuzi cha dishi pamoja na waya wake kwa bei ya shilingi elfu 95,000 piga 0677423349 uje uchukue king'amuzi chako location. Gongo la mboto
habar zenu wakuuu! binafsi niko powa,,nielekee kwanza kwenye mada mimi ni mjasiriamali nahtaj kufungua kibanda cha mpesa na tigo pesa ila kwa bahat mbaya sina kitambulisho chochote cha utaifa...
Wakuu habari
Nauza kiwanja changu kilichopo mbezi luis maeneo ya Mtaa wa muhimbili/Muungano
Kiwanja ni kizuri na kikubwa cha ujazo wa 7600sqm kinafaa kwa makazi na biashara
Kiwanja kiko karibu...
umofia kwenu
natafuta wanapotoa darasa la ufugaji nyuki na kutengeneza mizinga yake.mikoa iwe morogoro.dar es salaam na pwani.popote ntafika ndani ya hiyo mikoa
Jipatie Bati Imara Zaid Tanzania Kwa Bei Nzuri Ambazo Tunampatia.Mteja wetu Warrantie ya maandish ya miaka 10 ni DRAGON PEKEE Yenye uthubutu wa kutoa warrantie.ya maandish kwa mteja wetu...
Sisi wana KAGERA tunajivunia mafanikio makubwa ya mwenzetu SAIDA KAROLI. Kwa umoja wetu tutajitokeza kumuunga mkono pale ESCAPE ONE tarehe 6.7.2017. Umoja ni Nguvu
BRENDA INAYO SAGA,BRENDA INAYO SAGA,BRENDA IMARA YENYE UWEZO WA KUSAGA VIUNGO VIKAVU KAMA TANGAWIZI KAHAWA NINA HITAJI KUAZIMWA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO MAALUM KAMA KWA KILA WIKI AU KILA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.