#MYMBARALI_NOTES_BOARD
PATA KIAZI AINA YA TIGO
ZIPO GUNIA ZAID YAMIATANO HATA UKITAKA ZAIDI YA APO
BEI 18,000/=@GUNIA
ENEO: INTOKYELA-TUKUYU-MBEYA
CALL: 0763770207
Hello Team JF.
Natafuta Toyota Landcruaser hii yenye springs leaf or banzi isiwe imekatwa roof. .kama iko Arusha, manyara or Kilimanjaro will be the best .asante sana Team.
Pagale na kiwanja vinauzwa Mbezi Luis
MBEZI LUIS 1KM TOKA STENDI YA KWA ROBERT,JIRANI NA BAA YA KWA MAMA NDESHI.
LINA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER,JIKO NA SEBULE.
Eneo ni 20x40.
29milioni tu
Kwa mahitaji ya marble, granite jumla na rejareja na mafundi bora wa kujenga majiko ya marble, Tiles ndani ya nyumba na makaburi(kuweka marble)
Piga / whatsapp 0657441192
NYUMBA INAUZWA
DETAILS
Ni nyumba ya kisasa sanaa ya vyumba vinne(2 master)
Pia ina;
- dinning
-sitting
-jiko
-public toilet
-parking
LOCATION
kibaha mkoani kati kwa dachi
UKUBWA
Sqm 965(30*32)...
Wasalaam wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Inahitajika Toyota Land Cruiser Hard Top iliyo katika hali nzuri. Iwe full AC plus Airbag. Iwe macho ya panzi. Kwa mwenye nayo au anafahamu...
Mali bila daftari huisha bila habari,
Sasa daftari limehamia kiganjani mwako kupitia Android Smartphone ambapo sasa unaweza ku-monitor biashara kwa ukaribu zaidi kupitia Android App yetu ya...
Karibuni FNB bank kwa wanaohitaji kufungua bank account tuna salary account, savings account, fixed na flexi fixed account. Na tuna hii account inaitwa Goldcheque account ni especially kwa...
Habari zenu Wakuu
Nauza simu aina ya infinix hot 7 ipo katika hali nzuri,imetukika miezi mitatu ipo full box kasoro hear phone
Kwa abate hitaji mawasiliano
Phone no:0786-552557
Wakubwa natumai mko buheri wa afya kabisa.
Napenda kujua na kukutana na mtu au kampuni wanaofanya zile automatic watering au irrigation kwa gardens za nyumbani au mahotelini kwa Dar es salaam...
Umoja Colleges offers Training and Consulting in the Following Areas:
Web Development
Server Administration
Networking
Mobile Apps Development
Computer Repair and Maintenance
Digital...
Nauza dell Pc kwa bei poa sana njoo na laki 3 (300,000)
Uchukue mzigo used ila ipo vizuri.
Dell latitude E6400
Core 2 Duo
Harddisc 500
Nicheki kwa whatsapp no
0678694962 Nipo Dsm.
Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo n.k. ndani ya jiji la Mwanza wasiliana nasi kwa
Kwa sasa tuna:
1.Nyumba yenye vyumba vinne 4, master 2, vya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.