Habari zenu nina kuku aina ya tanbro chotara nauza wakiwa na miezi 2 tayari chanjo zote nishapiga bei kila moja ni sh 8000 napatikana Dar es Salaam maeneo ya Tabata Mawenzi
Sent from my SM-G532F...
Pagale na kiwanja vinauzwa Mbezi Luis
MBEZI LUIS 1KM TOKA STENDI YA KWA ROBERT, JIRANI NA BAA YA KWA MAMA NDESHI.
LINA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER,JIKO NA SEBULE.
Eneo ni 20x40.
29milioni tu
nauza camera ya Lumix GH5 full package battery 2, charge, lans 14-45 na 45-200
ipo kwenye hali nzuri kabisa yani kama mpya! nauza 4,500,000.
kwa maelzo zaidi 0658644485 na picha
pia nauza vitu...
MASHUKA MASHUKA MASHUKA
Pata mashuka ya cotton nzito kwa bei ya jumla na rejareja.
Mashuka yanakuwa mawili king size futi 7kwa8 yanafit godoro lolote. na foronya 4.
Kuna 7/8 ina shuka 2 foronya...
Wanajamvi,
Toka jana nahangaika humu kutafuta thread fulan ilikuwa kuna mtu ameleta anauza simu za mezani unazoweka Laini na alikuwa anauza kwa bei nzuri sana. kwa ambae anaukumbuka naomba...
Kiwe maeneo ya Kihonda, Mkundi, Bigwa, Lukobe au Nane nane. Pia kiwe kimepimwa. Weka na bei kabisa. Kama ukubwa sio 30*30 basi walau kiwe kuanzia 700 square meters
Wakuu habarini za leo, nipo mkoani nahitaji packages za asali kuanzia 5lt 1 lt na 0.5lt naomba msaada kuwapata wazalishaji/ watengenezaji wa vifungashio hivi vya asali, au pia kwa anaye jua...
Karibu, mwana Jf ujipatie sofa la watu 2 kwa bei ya LAKI 250,000 ni sofa nzuri full ngozi location Tabata Dar es Salaam PIGA SIMU 0677423349 UJE UCHUKUE SOFA LAKO
TIXA Tumekuletea huduma ya kutuma parcel mikoani kwa bei nafuu kwa 3,500/= TU
Ruti Zetu hadi sasa ni:
DAR - DODOMA
DAR - ARUSHA
DAR - MOSHI
ARUSHA -DODOMA
Ruti hizi ni kwa 3,500/= tu
tumeanza...
Ni aina ya Canon.
Imetumika kwa miezi sita (6).
Ipo Dodoma mjini.
Sababu ya kuuza ni kwasababu ilikua ya shirika na mradi umekwisha.
Bei ni lakini nane na hamsini elfu (850,000).
Wasiliana nami...
Specifications
continous power 1000W input voltage 12V output voltage 230V na battery N75 12N 75AH
vyote laki 2(200,000) call 0658705609 na 0714343405 . vyote brand new
Call:0689378424/0754405179/0679531937
Vitz New Model
Year:2006
990cc,vvti
Haina tatizo lolote/Haidaiwi
Bei:Milioni 4.5
Ipo:Dar es Salaam/Kamata/Mpingo House
Habari wakuu
Nahitaji simu haraka sana kabla sijabadili matumizi ya hii pesa na kuipeleka TBL
Kwa aliye na Simu Tecno camon cm kwa 130000 nahitaji tufanye biashara..pesa iko mfuko wa shati hapa
Fine gemstones for sell. Red Garnet, Rhodolite, green tourmaline and Amethyst
Amethyst
1carat- 7000tshs
Rhodolite
1carat- 10,000tshs
Red Garnet
1carat- 10,000tshs
For more info Call 0653284788
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.