Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Je wewe una semi trucks za Kichanja? Nahitaji kupelekewa mzigo wangu Kigoma. Tuwasiliane kwa PM au nambari za simu 0787069996 na 0717454454
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Vinauzwa jointly bei 200 Cash , Mtungi UMEJAAA kampuni ya orynx kilo 32.5kg , jiko ni used for 4 months plates 2 KIOO safi na, pipe na gas meter yake, njoo ubebe mzigo sawa na bure! Nipm...
1 Reactions
22 Replies
17K Views
Habari za leo ndugu zangu. Natafuta gari ndogo ya kufanyia kazi ya taxi. Ninaishi Dar es Salaam, nina uzoefu wa kazi hii kwa muda kidogo, pia nina account za makampuni makubwa kama Uber, Taxify...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza simu kwa bei nafuu Tecno W4 Ukubwa wa Kioo - Inch 5.0 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1280...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau wa maendeleo, Nahitaji a power cable/USB adapter ya Kinect XBox 360 Sensor ya kuweza kuconnect Kinect Sensor kwenda kwenye computer. Hata ikiwa used ni poa, muhimu iwe inafanya kazi. Ni...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Suzuki Escudo HellHassen Inauzwa iko katika hali nzuri Year Of Manufacture; 1998 Engine capacity;1590 CC Four wheel drive Five doors Transmission;Automatic Bei Million 7.5 Kwa anayehitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Natafuta display ya PC toshiba, Mlango wa CD na keyboard. Na bei zake itapendeza. Na fundi mzuri.. Nipo mkoani wiki ijayo nitakua DSM ili nijue nijipange. Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Tunauza miche ya parachichi ambayo imeshafanyiwa badding tayari kwenda shambani. AINA: Hasi. MUDA: Miaka 2-3. MAHALI: Makambako.Njombe. MAWASILIANO: 0744...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Xiaomi Mi Band 4 Specs Display -------------------0.95" AMOLED Display, 120*240 Pixels Battery ------- -----------135mAh battery compacity,Up to 20 days (Recharging time ~2 Hours) Water...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi...! Anahitajika haraka dalali/madalali wa nyumba, viwanja na mashamba kutoka mkoa wa Morogoro, anayeishi Morogoro Mjini. Kwa maelezo zaidi ani PM haraka iwezekenavyo ili tuyajenge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nina ps2 yang nataka niongeze games kwenye flash GB 8,nko dar MSAADA PLZ:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe kuanzia ft 5 ya shs 400,000,,nipigie 0786099447
0 Reactions
3 Replies
878 Views
habari ndugu naomba mnisaidie kwa anayeuza freezers anipatie bei na picha kama inawezekana
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna master, chumba na sebule jiko, choo na store (laki moja) Chumba peke yake kuna cha elf 40 na cha elf 30. Maji yapo, vyumba vipo karibu kabisa na stand mpya ya Mbagala kuu. Mawasiliano...
1 Reactions
4 Replies
916 Views
Ipi ni gari nzuri kati ya Tyota premio na Toyota voltiz.
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka, Tunauza miche ya Parachichi ambayo imefanyiwa Badding. Tayari kwenda shambani. AINA: HASI. TULIPO: MAKAMBAKO, NJOMBE MUDA WA KUZAA MATUNDA Ni Miaka Miwili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana chanjo zote hawa ni bata mzinga na bei yao ni 75,500 kwa dume mmoja Napatikana Mbezi ya Kimara 0742150610
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Salam JF, Naomba kufahamu bei ya mayai kwa huko, Lengo nahitaji kuhamishia shughuli zangu kw huko mjini. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Gari aina ya toyota land cruizer vx inauzwa, iko katika hali nzuri sana, ni manual na inatumia disel..!!! Haina udalali, gari ni ya kwangu. bei sh million 30, but inashuka kidogo Kwa mawasiliano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom