Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Niaje wadau hivi ni wapi naweza pata viatu vya mtumba vya kiume grade one kwa belo na bei yake ipoje?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Niliona mtu katangaza anatengeza bustani za maua majumbani aliweka namba za simu nikipiga hapatikani naomba arudie tangazo na namba simu
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa mahali nitakapopata nywele za jumla za wanawake kama darling, jambo na masai braid ili na mimi niziuze kwa jumla naomba kujua carton ni kiasi gani? Wataalam wa hii biashara naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Naomba kufahamishwa wapi naweza kupata mabox ya kubebea vifaranga. Ni mabox ambayo huwa yametobolewa kuruhusu hewa kwa vifaranga wakiwa wanasafirishwa. Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei: 230,000/= Negotiable. Ipo Dar na ina Full Documents Contact: 0718111944.
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Wakulima na wafugaji Mambo vipi! Nina plan za kufuga bata wa kienyeji aina ya Muscovy, nataka kufuga kibiashara zaidi, kuanzia mwezi ujao nataka niwe nimeshaanza project hii. Sasa naomba...
3 Reactions
35 Replies
9K Views
Mzigo mpya umeingia. Follow page yetu Instagram kwa jina la @adonai.classics_19. 0714-796778 au Whatsapp 0628-615685
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ROONIE_GRAPHICS _TZ Tunatoa huduma za graphics design, brand, print & deliver kwa BEI NAFUU* HUDUMA ZETU NI:- UCHORAJI KATUNI PICHA KUEDIT PICHA (BACKGROUNDS & RETOUCH) MUSIC COVERS BIRTHDAYS...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
inatumia cd inatumia flash inatumia bluetooth bei 720,000 (laki saba na elfu ishirini) inapungua kidogo kwa maelezo zaidi 0687 089980 iko mkuranga, ukilipia utasogezewa mpaka mbagala.
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Karibu, ( Chini nimekuwekea baadhi tu ya picha ili uone. ) Ok, kwanza naomba nikuambie wewe mfanya biashara kwamba katika dunia hii ya leo ya utandawazi BIASHARA NI MATANGAZO. Pengine unaweza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rafiki yangu wa JF mzima wewe? Kabati la vyombo milango 3 linauzwa bei laki 400,000 lipo vizuri kabisa. Hili kabati lipo Dodoma, itapendeza zaidi kama na wewe upo Dodoma, ila kama upo mikoa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naitaji fundi wa kuja kunifungia Dish la Azam Media Nyumbani kwangu Goba, na hilo dishi tunalifungua Makongo Juu kama kuna mtu yoyote ambae anaweza kufanya hiyo ishu anicheck kwa namba 0713 634679
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Anyone help....nna tafuta headphones za dre profesional beats...Thanxx!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau hamjambo, nataraji kujiunga na masomo Saut Mbeya, ila nataka pia kujishughulisha na kilimo hasa maharage, mwenye uelewa wa namna ya kupata mashamba ya kukodi plz anijuze
1 Reactions
10 Replies
4K Views
nauza jiko la gesi la plate 4.hii ni bei ya promotion.na pia kuna garantee ya miez 6.duka lipo maeneo ya airport.napatikana kwa namba 0712620078
2 Reactions
18 Replies
4K Views
inachoma nyama, kuku, mikate,samaki, mishikaki, nk. price :lita 60#250000 :lita 45#220000 :lita 35#200000 contact :0714417739 Tunapatikana Kkoo msimbazi daresalaam pia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
no H 6 inataka 40000 inashida ya button ya kuongezea sauti 0716195522 location sinza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
80 Replies
9K Views
JIPATIE OVEN PAMOJA NA JIKO LAKE LA UMEME PLATE 2, UNALETEWA MPK MLANGONI,MIKOANI TUNATUMA BEI 260,000 0659965555
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza, Hitachi Electric Oven with convection and rotisserie function. Rangi ni Nyeusi, na haijatumika bado. Price: 200,000/= Kwa mazungumzo zaidi, karibuni DM.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wadau...nauliza jiko la aina gani ni nzuri la gas..maana yako meni kina nikai..west point...hitachi..sasa lipi ni nzuri kwa maana ya kwamba halitumiii gesi nyingi?
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Back
Top Bottom