Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu, habarini za jioni. Naomba mwenye kufahamu namna ya kutengeza matangazo ya biashara anifahamishe. Huwa yanatengezwa vipi? Nina interest ya kuanza kazi hii ila sijui nianze wapi. So please...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wana Jf, poleni na majukumu Naomba kuelekezwa mahali ninapoweza kupata ID holder kwa bei ya jumla, rangi tofauti pamoja na sehemu yakuziprint Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Guys naombeni kujua jinsi mchele grad one unavyokua au kuonekana au wapi unapatikana ili nisijekuingizwa mjini maana ndio kwanza bado mgeni please [emoji120] I need help
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Nauza TV flat aina ya LG, Inch 32, imetumika miezi 4 tu. Bei 330,000/= Sababu ya kuuza kuhitaji hicho kiasi cha pesa kwa sasa. DSM .
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hdd 120gb Ram 2gb Processor 2ghz Battery inatunza moto kwa masaa mawili Bei 150000/= Location Dar es salaam Contact Karibu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tunauza mayai ya bata mzinga. Bei zetu: Bei ya yai moja Tsh 4,000/=. Trey moja 120,000/= Namba za mawasiliano: 0762 355 114. Number za WhatsApp: 0762 355 114 Mahali tulipo: Mkoa wa Tanga...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
WASILIANA NASI MJ PAINTERS KUPITIA NAMBA HIZI 0656 842 024 0742 124 788 Nyumba ni muonekano mkuu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tecknet wireless keyboard mini bluetooth keyboard; -Backlit keyboard -support ios, android and windows system - condition: mpyaaa - price: Tsh.40,000/= bei inapunguaaa Free delivery in dsm Phone#...
0 Reactions
5 Replies
735 Views
Ni 3 In 1 Inafanya Printing, Scanning na photocopy, iko katika hali nzuri na imetumika miezi mitatu tu. Bei yake ni 400,000 TZS na kila kitu chake kipo ikiwepo setup CD na cable wires zako. Mzigo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ps3 used as new Haijachipiwa Good condition Pad 2 280k
0 Reactions
6 Replies
730 Views
Nataka nkanunue bodi za mtumba Kali kwa bei nzuri na Mimi nikauze,, karume ni siku gani Mara nyingi wanakata hizi belo.. Na muda.. Msaada tafadhali wana jamvi. Bei isiyozidi 2500
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Wadau, nahitaji body yenye hari nzuri ya Mitsubishi Pajero IO. itapendeza kama litakuwa na gia boksi na mfumo wa wire usiochezewa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHEREHANI YA KUTUMIA MKONO Bei ni TSH 20000 yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umri ni wiki 1. Bei kanga 5000/= bata mzinga 10000/= hadi Jumapili hii. Niko Dar Kongowe.Ikifika J3 bei itabadilika. Karibu kwa 0713 802075 pia wako wa miezi minne kanga 20000/= bata mzinga 60000/=
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Rafiki yangu mpendwa, Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tecno Camon CX Imetumika only 2 Months. Bei ni 250,000 hadi 200,000 mwisho. Specifications zake: 5.5-inch IPS Display, 1080 x 1920 pixels (400ppi) 1.5GHz octa-core Mediatek MT6750T CPU with 2GB...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama unahitajia mayai ya kisasa dar au mkoa wowote tuone. Bei dar ni Makubwa 4400 Size ya kati 4000 Madogo 3000 Mkoani maelewano. 0654567777 mwananyamala
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaj dalali aliyepo Tabora mjini ili anisaidie kupata kupata nyumba.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari ndugu wana jf Kwa yoyote mwenye godoro la 5×6 aniuzie Nahitaji godoro used la 5×6 Ningepata ningefurahi sana Nichek pm au kwa namba 0759 432 654 au whatssapp pia
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibuni wana jf; vyombo vinauzwa pamoja na Kitanda 5 *6 kitanda bila GODORO kwa laki 300,000 njoo uchukue location mabibo dar es salaam piga 0677423349
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom