Hicho ni chakula kinachoota ndani ya siku 4 na kina virutubisho vyote muhimu kwa mnyama
Kwa maelezo zaidi angalia hii video
Au angalia post hii kwa elimu kuhusu chakula lishe
Jinsi ya kufuga kwa...
CCTV INSTALLATION
We are dealing with;
✴CCTV Camera Installation and Repair
✴LAN Installation
✴Computer Service & Repair
✴Electrical Fence Installation
Also we can connect CCTV camera directly...
Habari ndugu,
SafariPoa ni app ambayo itakusaidia wewe..unaye ishi mbali na ubungo terminal kituo cha basi kupata ticket yako kwa urahisi zaidi
#Itakusaidia kuepusha mda wa foleni
#Pia itaokoa...
Habari mteja kutoka jf, karibu ujipatie sofa 2 +1 nikimanisha sofa 1 la watu 2 na sofa lingine la mtu mmoja yanauzwa yote kwa pamoja sio kwamba moja moja hapana be ni laki 280,000 yote mawili kama...
Habari wakuu humu ndani hakuna wauzaji wa spea za magari makubwa? Aina ya scania,volvo,daf na iveco maana nauona kila aina ya biashara zinatangazwa humu ndani lakini sijaona hii biashara...
Habari.
Naitwa Jerry natokea Jerry Empire, mahali pekee tunapohusika na uuzaji magari used ndani ya Tanzania na hata yale kutoka Japan.
Kupitia sisi unaweza kuuza gari yako kwa haraka na bila...
Habari wakuu, nauza shamba langu heka 50 kila heka Kwa 600,000/= lipo kijiji cha nyatanga - Kimanzichana ni km 12 kutoka Barabara kuu hadi kufika Shambani, barabara haisumbui Kwa vipindi vyote...
Ninanunua mawe ya kwenye nyongo ya ng'ombe. Kwa bei ya 40,000 mpaka 45,000 kwa gram.
Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.au whatsapp no 0693296809
MASHINE KWA BEI ZA OFAAA!
TSh7
Dar es Salaam, Tanzania
canon ir 2204 (mpyaaa)- 1,350,000/-
canon 2018 - 950,000/=
Canon 2016 ir- 750,000/=
canon 1024 ir - 670,000/-
hp 1415- 550,000/= (colored and...
Nina mpango wa kuanza kulima mahindi mwakani ila nahitaji kununua mashine ya kusaga na kukoboa
Nikisha vuma nasafirisha Dar kwa ajili ya kutengeneza unga
Naomba kujua mwenye connection na...
Nanua gallstones zinakua kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 30000. Robo kilo million 6. Nusu kilo million 12 kilo moja million 24. Nicheck kwa 0713302846
Habari wakuu.
Ninahitaji pembe za ng'ombe kiasi chochote kuanzia kilo moja mpaka tani kadhaa.
Pembe ziwe safi ndani bila kuwa na ule mfupa(ziwe nyeupe ndani)
Kwa nje rangi yoyote inafaa.
Mimi nipo...
Habari zenu wakuu, natafuta pembe za n'gombe rangi nyeupe mkoa yoyote na kiasi chochote hata kama zaidi ya tani moja! Ntanunua kwa bei nzuri popote inapopatikana
Asanteni
Nahitaji nyumba ya Kupanga Iwepo maeneo ya kimara yani kuanzia kimara mwisho kurudi maeneo ya town kwa maana ndani njia ya mwendokasi.
Iwe na vyumba viwili kimojawapo masters..maji na umeme wa...
Shamwa Logistics ni kampuni ya Clearing and Forwarding inayojihusisha na kutoa mizigo bandarini na viwanja vya ndege kwa kufuata taratibu husika za airport, bandarini na mamlaka ya mapato. Hivyo...
DIATROM[emoji768] 50 is suitable to light monopolar pure cut as well as cut/coagulation and coagulation.
Under microcontroller watch it has the maximum output linearity, safety control allowing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.