Wadau ninatafuta mtu anayeweza kutengeneza tanki la chini kwa ajili ya kukusanya maji ya mvua. Eneo ni Mlandizi Mbwawa. Naomba unipe na makadirio ya gharama mfano tanki la lita 50,000 gharama...
Nahitaji kiwanja maeneo ya KIBAHA au CHANIKA ila sina hela cash hivyo kama kuna kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kidogo kidogo kwa kukatwa kwenye mshahara wangu nipo tayari.
-Kiwanja kiwe...
Habar wakuu! Nina mpango wa kuanzisha mini bakery, kwa mwenye details za vifaa kama jiko la kuokea na vifaa vyake, mixer, slasher anijuze tafadhali! Nikipata na bei kwa kila kifaa itakuwa bora...
Wana jukwaa nimekuja kwenu.
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Mabibo Hostel, Sinza, Changanyikeni, Survey, Makongo Juu, Ubungo External, Mwenge na River Side. Budget yangu ni 40k 45 au...
Katika "KUZUGA" kuwa inawajali wateja wake kampuni ya MultiChoice inayomiliki king'amuzi cha Dstv inazidi (KUSHUKA CHINI) kwa kuwasogelea wanaolipia kifurushi cha Bomba waone mechi za Klabu Bingwa...
Nahitaji bati za rangi wengine wanaziita msouth za bei nzuri na zisizobabuka rangi coz kuna jirani kapaua mwezi mwezi 3 sasa hivi zimebabuka rangi yote utadhani kapaua mwaka was kikwetee
Habari waungwana. Kilimo cha mahindi kwa takribani miaka 3 sasa hapa nchini kwetu kimevamiwa na viwavi wanaoshambulia shina na kuathiri mavuno kabisaa. Hali hii imesababisha matumizi ya madawa...
Ni mashine zinazotumia gharama nafuu sana katika uzalishaji wa vifaranga.
Gharama ya mwezi mmoja ni Tshs 20,000/= kwa ajili ya ununuzi wa mtungi wa gas Kg 6.
Gharama za uendeshaji wa mashine hizi...
1. MASHINE INAYOTUMIA NISHATI YA UMEME NA ITATUMIA MAFUTA YA TAA KAMA NISHATI MBADALA KIPINDI UMEME UKIKATIKA
SIFA
-Inageuza mayai yenyewe (hata baada ya umeme kukatika)
-Inacontrol joto yenyewe...
Frem ya biashara inahitajika Arusha maeneo ya Mjini stend ndogo na maeneo ya jirani na stend ndogo kiwe kikubwa kodi isizidi 150,000/=kisiwe na matatizo na halmashauri
Pia inahitajika frem ya...
Salaam kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta frem au kibanda ninachoweza kuanzisha biashara ya chips. Mahali pa biashara ni dar napendelea zaidi maeneo ya mbagala
Kama umehaika kutafuta batter ya laptop ukakosa usipate shida tena unachotakiwa kufanya unanipa battery bovu tu.
Tunaenda ku repair na kurudishiwa battery yako ikiwawa inapiga kazi kama...
Get your PC protected from Malware, virus attacks and Trojans. Get yourself Kaspersky Antivirus CD or Kaspersky Internet Security CD.
Kaspersky Internet Security 2019 Software, 1 Device, 1-Year...
Karibuni kwa wakazi wa Dar na mikoani sasa unaweza kupata dagaa wa Mwanza na dagaa mchele popote ulipo, zaidi ya hayo samaki wa Mwanza, karanga za kusagwa pia ubuyu vinapatikana kwa bei ya size...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.