Nipo chini ya miguu yenu tafadhali...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimechoka sana kiakili kimwili na kiroho..........
Wana jukwaa nimekuja kwenu.
Wakuu nahitaji chumba...
ANDROID TV BOX MXQ PRO
4K ULTRA HD
INTERNET TV
wapenzi wa mipira, movies, tamthlia hii itawafaa, TV box inakuwezesha kuangalia channels nyingi Sana bila kutumia king'amuzi chochote, utaweza...
Habari wapendwa, natumai wote wazima.
Napenda kuwa tangazia biashara yangu ya matunda aina ya parachichi. Nauza jumla na reja reja ndan ya Dar na hata pia mkoani unaletewa. Kwa wale wajumla...
Wanajamvi niko kwenye hatua za mwisho za kuvuna karanga ndogo nyekundu. Bei yake ni Tshs 2,500 kwa Dar es Salaam unaweza kuweka order yako kwa kupiga simu number 0788-318671. Karibuni
Nina eneo katika makazi yangu nimelitenga kujenga nyumba ya ghorofa 3. Chini (basement) frame za biashara, floor ya kwanza ni kwa ajili ya bar & restaurant yenye counter ya bar, jiko, na vyoo...
Ndugu wadau,
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials...
Anayueza simu tajawa hapo juu, naitaji
Sifa
Isiwe ya wizi
Isiwe na mipasuko yeyote
life time ya betry izingatiwe
Bei iwe ya mkulima wa jembe la mkono
Karibuni
nahitaji lain ya wakala ya airtel money, mmiliki awe na document zote.
Offer yangu ni 100,000/= njoo pm, au niandikie ktk baruapepe sirngonyani@mail.com
*NGOCHO CROSS AND PURE BREEDING LTD DODOMA-MPWAPWa* tunakuletea vifaranga wa umri wa siku moja kwa *tsh 1500/=*
Aina tulizo nazo ni:-
1. *KUROILER F1*
2. *ISRAEL/NEW HAMPSHIRE RED*
3. *RHODES...
Hello Habari Wakuu.
Nahitaji mtu ambae ana gari yake ndogo ndogo mfamo Vitz, IST, wish, spacial nk namba C ambayo amepaki tu nyumbani haitumii aweze kuniuzia kwa makubaliano ya malipo kila mwezi...
Ndugu wanajukwaa,natafuta friji ya kununua ambayo Ina sehemu ya freezer,iwe kwenye hali nzuri bajeti 250,000/= nasisitiza iwe kwenye hali nzuri.mwenye nayo njoo Pm tuwasiliane
Mfanyabishara anayeuza glass jar (bottles) kama hiyo kwenye picha hapo chini nahitaji, 200g kuanzia 300 pieces. Taja bei tafadhali. Inbox ikiwezekana tafadhali.
Naitaji waya wa 2.5mm mita 30 na 1.5 mm mita 50.nitafute kwa namba 0745076270 tufanye biashara.na pia naitaji switch circuit za single 3 na 1 gang 1 way switch nazo 3(tronic)
Location-dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.