Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mashine nzuri ya kutotoleshea vifaranga vya kuku na bata. inauwezo wa kubeba mayai 1056. ni nzima na inafanya kazi vizuri. bei yake ni 1,800,000/= kwa mawasiliano piga simu 0787220120
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HDD 160 RAM 4GB SCREEN 19'' IPO FULL KILA KITU UNAPEWA PRICE 300K CONTACT NO. 0763838060 ENEO ILIPO DODOMA
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta Essential Oils kama vile Jojoba, Sandalwood, Lavinder, Flax seed oil, nk. Kwa ambaye anajua mahali naweza kupata tafadhali anitumie msg kwa simu 0688308840
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba Msaada Wapi kwakuyapata haya mafuta Mazuri ya nywele yaitwayo "LAVENDER OIL"
1 Reactions
21 Replies
14K Views
Wakuu mwenye uzoefu na grill nzuri za madirisha anielekeze ni wapi zinatatengenezwa. Nipo Dar.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naulizia wapi hapa Dar naweza pata fridge na deep freezers za Mitumba kwa hapa Dar.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Chumba chenye hoo ndani na sebule. Nyumba ina tiles, maji ndani na fensi. Kodi laki moja na nusu kwa mwezi Tuwasiliane: 0686648630
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Vyumba 2 (Kimoja masta), sebule, choo cha ndani, jiko. Ipo Salasala, Kwa Mtenga. Kodi laki 3/Mwezi Wasiliana: 0686648630 / 0675107182
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kwa mahitaj ya mashine za kutotoleshea vifaranga maarufu kama INCUBATORS, nauza kwa gharama nafuu sana, mashine zote ni mpya , na zina gurantee ya miezi 6 mpka mwaka mmoja mashine...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Meza za ofisi 4 zote shilingi 180,000 Dining table na Viti 6 Vyote shilingi 380,000 Stand ya Tv flat screen ya Chuma shilingi 60,000 Viti vya darasani 10 vyote shilingi 280,000 Meza za kawaida 4...
3 Reactions
144 Replies
15K Views
Hi, Mnayoiona hapo ni Xiaomi Mi Box S Android Tv ambayo inaipa televisheni yako uwezo mzuri wa kuwa Smart TV au hata kama smart, inakupa futures ambazo usingeweza kuzipata kwenye Smart TV. So...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Fundi wa umeme wa majumbani na viwandani anapatikana, kufanya wiring kufunga mashine aina mbali mbali za kutumia umeme. Pia kuchora Ramani za umeme na kugonga mihuri ya kiumeme na pia ushauri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Call: 0679531937/ 0754405179/ 0689378424. Toyota OPA Year: 2004 1790cc,1ZZ vvti Haina tatizo lolote, haidaiwi, full AC. Bei: Milioni 5.5 Ipo: Kariakoo
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Chumba kimoja kinapangishwa. Ndani ya fensi, choo nje (wanachangia wawili) Bei: Tshs 100,000 kwa mwezi Mahali: Mbezi Beach Samaki Wasiliana: 0686648630 au 0675107182
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Morogoro Mjini (Kihonda) nahitaji kujua gharama za uchimbaji kisima. Kiwe kinatumia pump kupeleka maji kwenye tank. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuuliza jamani shampeni kwa bei rejareja sh ngapi kwa Dar?
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Tunauza Vitoto vya Nguruwe viko 14 ... Wako kwenye Hali nzuri na wana afya safi kabisa , chanjo zote za kila mwezi wanachomwa Arusha Ngaramtoni ya Juu 0754371183 au 0782954687
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu?,I hope you do good. Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs. Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo...
9 Reactions
158 Replies
26K Views
Wakuu Wasalaam, Napenda kuwajulisha kuwa tarehe 23 mwezi huu naanza kusupply kuku wa kienyeji kutokea Singida kwa jiji la Dodoma tu. Uwezo wangu wa kusupply kwa wiki itakuwa ni kuku 250, kuku 50...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom