Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nina imani tu sote wazima Kama ilivyo ada, kijana wenu nimepata fursa kwa bos wangu... huu uzi maalum kwa ajili ya handbags (pochi) za kina dada. Duka lipo kariakoo mtaa wa Aggrey na Kongo Huu...
4 Reactions
11 Replies
280 Views
Kiwanja kinauzwa kiluvya kwa Komba Umbali wake ni mwendo wa kutembea kwa mguu kutoka morogoro road Bei milioni 7 na nusu tu Ukubwa MITA 22 kwa 23 Kiwanja kina matofali,umeme na maji ya dawasco...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
ALPHA CONSTRUCTION GROUP 📌Huduma zetu zinapatikana kanda ya ziwa na nchini kote kwa ujumla. 🔰Karibu tukujengee Mashimo ya Majitaka kwa Mifumo ya kisasa. FAIDA ZAKE. 🔰Mashimo haya...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Natafuta simu bajeti kuanzia 450k mpaka 550k nzuri makini, Storage ya kutosha ndani, camera kali, battery life nzuli, iwe faster, isiwe inapata moto, isiwe Infinix, Tecno, GooglePixel au Itel na n.k
1 Reactions
5 Replies
262 Views
Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara Niko Dar es salaam Mtu yoyote ambae anauza then nipm Ukiwa na risit ya...
1 Reactions
2 Replies
199 Views
Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
3 Reactions
9 Replies
519 Views
Tafadhali kwa anaejua duka ninaloweza kupata printer ya epson px660 naomba anijulishe pamoja na bei.
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Wapendwa katika biashara, nataka kununua Fuso la kubeba Mizigo ya Mikoani. Sijawahi kufanya biashara yoyote ya kusafirisha mizigo wala ya magari aina yoyote. Ningependa kujua yafuatayo kutoka kwa...
0 Reactions
38 Replies
20K Views
Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni tatu ,natafuta moja ya gari hizi pichani.Niko Kibaha,piga 0713 -039 875
5 Reactions
17 Replies
711 Views
Wadau habari zenu nauza fridge aina ya Hitachi zuri na zima halina shida yoyote bei laki 2 na 30 na linagandisha vizuri
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Tunapenda kuwakaribisha wateja wote wenye mahitaji ya kazi za aluminium na upvc, kufanya kazi nasi. Tuna mafundi bora wenye uzoefu na weledi wa kazi, tunafanya kazi kwa uaminifu kwa kuzingatia...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
• Direction: Mshikamano, Mpigi Magoe Road, 1 km off Morogoro Road • Facilities: 10 bedrooms, 12 washrooms • Survey: surveyed • Plot Area: 1,600 sqm • Document: Sales agreement • Price: TSH 130...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Dirisha la futi 5x5 ni 250,000 Dirisha la futi 5x6 ni 260,000 Dirisha la futi 6x6 ni 280,000 Dirisha la futi 6x7 ni 300,000 Dirisha la futi 7x7 ni 330,000 Tupigie simu no 0659557284
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Wakuu. Natafuta mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar es Salaam.. Plz inbox Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Njia mbili kuu za kutafuta na kupata viwanja vinavyouzwa kwa bei nafuu ni kupitia madalali na mtandao wa watu sahihi. Madalali wa ardhi na majengo. Madalali wa ardhi ni watu wenye ujuzi wa...
2 Reactions
2 Replies
680 Views
Wadau habari za muda huu? nahitaji kujua mashine nzuri ya kuprint t-shirt, mtengenezaji, bei yake na pia kwa Dar nitapatia wapi? Asante
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Ahsante sana ndugu zangu kwa kuniomba nijiunge jamiiforum ili pia niweze kuendelea kutoa elimu juu ya masuala mbali mbali ya ardhi. Na sasa nimejiunga rasmi na jukwaa hili kwa ajili ya kuendelea...
2 Reactions
81 Replies
11K Views
Habari wanajukwaa, napenda kuwakaribisha wale wote wanaohitaji kukata bima ya afya kutoka jubilee karibuni sana nitawahudumia. Katika bima ya afya ya Jubilee unaweza kukata ya mtu mmoja, mtoto...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya kisasa au Ilazo North Offer M 14 Kiwe na ukubwa wa Square M1000. Kama unacho piga 0789 919393 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom