Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Karibuni mnisupport wadau wenzangu. Mawasiliano 0769 055050 Nipples za kuku na nguruwe.
2 Reactions
8 Replies
229 Views
FAHAMU NJIA NZURI YA KUONDOA MAGADI(SALTS) SHAMBANI Katika mashamba mengi tatizo la udongo na ardhi kwa ujumla kujaa chumvi au magadi limekuwa tatizo kubwa kwa wakulima wengi kwani magadi au...
7 Reactions
21 Replies
17K Views
1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi...
0 Reactions
6 Replies
515 Views
Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta kama ifuatavyo; 1. Nyumba in vyumba vitano Vitatu vipo juu, kimoja ni master na viwili vipo chini na public toilet, sitting, kitchen and dining. Ipo...
1 Reactions
2 Replies
296 Views
Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu. Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka...
1 Reactions
2 Replies
434 Views
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi. Kiwanja kipo...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu, natafuta gari aina ya Premio model ya kati wengi tumezoea new model. Au IST lakini pendekezo la kwanza ni Premio. Karibuni sana OFFER YANGU NI MILLION KUMI NA MOJA...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
• Direction: Tazara near Mfugale • Warehouse Area: 460 sqm • Rent: USD 2,300/month (payment in TSH is accepted) • Terms: 12 months • Brokerage fee applies • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ iko eneo...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Fikiria wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana mjini, unamiliki kampuni iliyopata heshima kubwa. Baba yako ni mkuu wa majeshi mstaafu, kaka yako ni kanali wa jeshi, shemeji yako ni mbunge na mtoto wa...
3 Reactions
1 Replies
456 Views
natafuta nyumba ya kupanga hpa dar maeneo ya tabata|MBAGALA maeneo ya kipati,MISHENI,Sabasaba,kijichi kwa laki 100.000/= kwa mwezi vyumba 6 na kuendelea uwe na geti tayari pamoja na maji tafadhali...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
• Direction: Bahari Beach • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: TZS 1.5 million/month • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inapangishwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba vinne...
1 Reactions
0 Replies
134 Views
Huenda unafanya biashara na raia wa Comoro au ulijaribu ila ukakutana na changamoto za hapa na pale. Au pengine ulikuwa unatamani kufanya biashara aidha kuuza au kununua bidhaa kutoka Comoro. Kuwa...
1 Reactions
70 Replies
14K Views
Habarini Wana JF kwa anaetaka kuanza biashara ya bajaji Karibu sana bajaji inauzwa na ipo vzr sana bei ni 3.2 million tu
0 Reactions
6 Replies
711 Views
Habari za majukumu wapendwa Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi Eneo lina hati ya...
7 Reactions
92 Replies
2K Views
• Direction: Sea Side • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: USD 3,500/month (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba ya ghorofa 1 ✓ inapangishwa na...
2 Reactions
0 Replies
148 Views
habari wakuu,naomba mnisaidie ni mahali gani kwa dsm wanauza e bikes,na brand gani nzuri,imara na yenye spear zinazopatikana kwa wepesi,pia nisaidieni mawazo mengine kuhusu hizi ebikes kwa...
1 Reactions
35 Replies
15K Views
Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali...
6 Reactions
9 Replies
753 Views
Ni laptop nzuri sana na ngumu mno. Sifa Touch screen, HDD 500GB, RAM 4GB, SCREEN 11.4INCH VERY SLIM AND CLEAN IPO KISUTU DSM. BEI 230,000/= Maongezi: Yes Charge : 2hrs Namba ya sim: 0783973428
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Back
Top Bottom