Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya...
Habari ndugu zangu,
Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja.
Nina uwezo wa kusuply gunia 200...
Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali.
Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000
Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm
Ni surveyed pot
Fixed Price
Interested njoo PM
Au
+254746360628 only...
Salute wakuu, hope kila mtu anaendelea vizuri na harakati za kimaisha na kibiashara pia.
Well, kuna simple project tumejiorganize kuifanya. Na imekaa Kama fursa nzuri sana kwa wafanyabiashara na...
Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker - IPX7 Waterproof Extra Bass Sound System sauti na mdundo mtamu
Call 0628 880 380
190,000tsh tu.
Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine.
Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam.
Bei zetu ni...
Hellw jf,kwa mwenye shida na AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN),tupo kukusaidia na kukushauri.Pia tunatoa huduma ya computer classes for beginners i.e introduction to...
Najua watanzania wengi mnapenda sana kusoma vitabu . Shida iliyopo kubwa watanzania wengi lugha ya kingereza inatupa shida.
Sasa hiyo shida imekwisha kama utafanikiwa kuona huu uzi leo kwasababu...
Faida za kuongeza mwani kwenye mlo wako
Husaidia kupunguza unene, kupandisha kinga za mwili.
Hupunguza kiasi Cha mafuta mabaya mwilini, Hupunguza mchakato wa kuzeeka kwa ngozi, Hupunguza...
Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used
Bei ni 2,500,000/- kwa moja
Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi.
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Naihitaji Kiwanja miguu 13x13 ya hatua kubwa kibaha jaribu na barabarani bahitaji pia nijue ni bei gani nipo serious wadau
Assalam alaykum viongozi
Nahitaji kupata uelewa kuhusu biashara ya kutengeneza madaftari, counter books na yale ya kawaida. pls yeyote mwenye uelewa kuhusu biashara hii njoo unipe tips. Pia...
Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali...
Hello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
Location: Dar es salaam
ikipatikana hadi kufikia...
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani.
Kina ukubwa wa Square meter 1080
kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
Rafiki yangu mpendwa,
Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni semina inayokwenda kukujengea ujuzi wa aina tatu; KUPATA, KUTUNZA na...
Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?wanashambuliwa
na magonjwa mara kwa mara?
Umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.