Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200. Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet. Eneo...
1 Reactions
20 Replies
701 Views
Habari wandugu naulzia gari aina ya ya starlet kwa anayeuza. Natanguliza shukrani. Model kama hiyo hapo chini
0 Reactions
3 Replies
221 Views
Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo...
1 Reactions
3 Replies
331 Views
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa...
23 Reactions
435 Replies
76K Views
Nina flat tv mbili LG inchi 50 zote zina tatizo kwenye HDMI port. Natafuta fundi mtaalam ili aweze kunirekebishia tatizo hili. Wasiliana nami kwa simu namba 0675682895. Asante.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
0 Reactions
6 Replies
283 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa. Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine...
2 Reactions
2 Replies
248 Views
  • Redirect
Learn basics of C programming:20,000/- C++:20,000/- Html:20,000/- Css:20,000/- javascript:20,000/- Kurekebisha na kutetuwa matatizo ya AVN:7,500/- Piga 0759-124378
0 Reactions
Replies
Views
Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200, Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet Eneo lipo...
1 Reactions
6 Replies
395 Views
Toka kwenye wazo mpaka utimilifu wa wazo kua bidhaa. Tunatoa huduma mbali mbali za uchapishaji zenye kukidhi mahitaji yako binafsi, biashara, taasisi za kidini n.k Kama kituo kinachojihusisha na...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan. Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original. Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote Saa haiingii maji hata uzame nayo...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda. Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
1 Reactions
10 Replies
414 Views
Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao. Tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Toyota Harrier Engine 1MZ Vvti Years 2005 Full A.c Price 18.5M Location :Dar Es Salaam
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Jana pasipo bahati maeneo ya posta clock tower mtaa wa indira gandi nimeigonga crown Athlete upande wa kulia taa ya nyuma. nilikua nina canter na gari imepaki...
3 Reactions
5 Replies
319 Views
• Direction: Zakhem Dar Alive • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms, 7 backyard bedrooms, 2 Frames • Plot Area: 700 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 70 million • Viewing charge: TSH 30,000...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wana wa Mungu,nahitaji mashine used ya juice ya miwa , location Dar es salaam .Offer Laki saba cash.Kama unayo weka Namba tuyajenge.
0 Reactions
1 Replies
233 Views
• Direction: Kijichi Neluka • Facilities: (2 bdrm, 2 washrooms) x 2; 5 Frames • Plot Area: 400 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 150 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ apartments...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
4 Reactions
5 Replies
461 Views
Back
Top Bottom