Kama kichwa kinavyo jieleza natafuta pikipi aina ya boxer au tvs used muuzaji awe na documents na iwe in good condition....kwa mengi zaida njoo inbox ... ukiona umempa mtu boda azungushe na aleti...
Wakuu mm napenda kuuliza kwa hapa morogoro kama kuna mafundi wazuri wa kudesign muonekano wa ndani wa gari kwa bei reasonable hasa kwa kuzingatia hii hali ya sasa ya mzee magu
Wadau nahitaji mtu anayeuza trekta ya mikono (USED) (power tiller) model iwe Kubota Japan or Tailand. Iwe Mikono mrefu. Aseme alipo popote Tanzania ntamfikia. Iwe haijachoka sana.. njoo DM tufanye...
Wadau kama kuna mtu anauza Mbao za Mitiki, basi tunaweza kuongea, kama utakua Comfortable hapa Sebureni ni sawa, kama utapenda twende PM, let's do it!
Nipe bei kwa size ulonayo, nataka Container...
Ulinzi wa mali zako, nyumba na ofisi ni muhimu sana, CCTV camera zinarahisisha ulinzi, wakati sahihi ni sasa, karibu @skmquality ujipatie cctv camera na huduma iliyo bora.
CCTV camera 4 channel...
Hello wapenzi wa Jamii Forum,
Mimi ni mfugaji nafuga kuku aina ya kuroiler wale chotara wana asili ya India wako kama kienyeji hivi
Natafuta soko la kuku hawa je mnaweza mkanipa ushauri kidogo...
Hii ni kampuni mpya kabsa hapa yambayo inajiusisha na uuzaji wa tiles amabazo hazitumii cement zinashikana zenyewe tuu zinakaa popote pale bei ni nafuu mno kulinganisha na tiles za kawaida kwa...
Hii ni kozi ya afya ambayo inatolewa na chuo cha muhimbili kwa hapa Tanzania, ni kozi ya muda wa miaka mitano (first degree), inayotoa wataalamu katika afya ya meno na kinywa yaani madaktari wa...
Wanabodi,
Ninauza basi langu la Eicher lenye namba CVZ.
Kwa sababu ya majukumu mengine ninakosa muda wa kusimamia hivyo sipati mapato ninayokusudia.
Lipo kwenye hali nzuri na bei ni maelewano...
The Computer Skills ( COmSkills) ni kampuni inayobobea na utoaji mafunzo na ushauri kwenye nyanja za IT & Financial System/Software. Tumetoa ofa ya kozi zifuatazo.
1.DATA MANAGEMENT AND...
Habari zenu jamani,napenda kuuliza kwa wajuzi eti kiwanja chenye upana wa mita 11 na urefu mita 15 je mtu unaweza ukajenga nyumba ya kuishi kwa vipimo ivyo
Wadau, habari zenu?
Mimi ni mjasiriamali chipukizi; mwenye malengo ya kuwekeza katika miradi ya Agribusiness (dairy & poultry projects - kwa uchache).
NAOMBA MSAADA WENU (HAJA YANGU ITATATULIWA...
Ni Application mpya kabisa iliyogunduliwa na mtaalamu kutoka London mwenye asili ya kiisrael anayeitwa Harry Williamson Baker.
App hii husaidia sim ya mtu aliyeidownload kuanza kupiga kelele na...
Wakuu,
Tunatotoresha vifaranga bora kabisa aina ya Sasso, tunatafuta masoko nje na ndani ya Dsm, kwa wiki vinapatikana zaidi ya vifaranga 1000 kwa bei ya Tshs 1,800 tu.
Sifa za kuku Sasso:
-...
Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode...
NAUZA ADSENSE NON-HOSTED MPYA KABISAAA, BEI NI KILO MOJA (100,000/=), NICHEKI KWA NAMBA ZANGU 0756888069 AU 0718268014 Na site yake pia ipo. Icheki BONYEZA HAPA KUONA SITE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.