Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Za asubuhi wakuu, Kama Mada isemavyo, nauza ASALI mbichi ambayo haijachakachuliwa hata kidogo, baada ya kurudi kutoka kwa madiba aka bondeni wakuu Nilikuwa Sina Dili hapa mjini, baada ya kuwaza na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye nayo anicheki jamani,.budget mwisho 350000,,location sinza na maeneo jirani
1 Reactions
2 Replies
559 Views
wadau anaowafaham vzur bay pot kuhusu makato yao anjuze,maana nataka nkakope kwao leo hii
0 Reactions
81 Replies
11K Views
NYUMBA inapatikana KITUNDA, Kivule Km 8 kutoka nyerere road (old pugu road) Nyumba Ina vyumba viwili (all are self-contained) Aluminium windows, full gypsums & tiles Perving blocks air-condition...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wakuu, mwenye pikipiki ya umeme anaeuza tuwasiliane PM.
0 Reactions
3 Replies
913 Views
habari waheshimiwa nauza vifaa ivi, presure machine pamoja na tank na vifaa vingine vidogo vidogo pia vipo katika car wash ambapo bado inaendelea kufanya kaz na kuingiza hela tatzo na shida na pei...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini wandugu! Nina uwezo wa kusupply mbao aina ya mninga (East African padauk), mkongo (Pod mahogany), mtondoro, mkurunge Natafuta wanunuzi wa jumla kwa hapa Tanzania kuanzia cubic metre 20...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Iwe na kitanda tu, ambayo nitaluhusiwa kulipia mwez mmoja mmoja, isizidi 200k Mahali popote dar ata nje ya mji fresh tu
0 Reactions
6 Replies
810 Views
Nauza Spark 3 Pro imetumika miezi miwili tu.... (Bado mpya kwa kila kitu) Risiti yake, box lake + ear phone + original charger vyote vipo! Location: Morogoro mjini Bei: 200,000/= More details...
0 Reactions
5 Replies
959 Views
Kitanda 220000 sofa 360000 friji 420000 Locatio tegeta wazo Simu 0678332605 Reason narudi kijijini kulima[emoji16]
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Gharama za kujipatia gari moja kwa moja kutoka Japan zimeshuka na sasa una uhakika wa kupata gari kwa bei nafuu Zaidi. Kwa kutumia nafasi yetu kama kampuni ya kitanzania, tunashirikiana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mdaa huu wana jf natumai mu wazima mnaendelea kuijenga tanzania ya viwanda mimi ni mjasiriamal mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi ni biashara ambayo nina...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Tunauza mbao na nguzo za plastiki (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) imara na madhubuti kwa ajili ya utengenezaji wa samani za bustanini, ujenzi wa campsite, uzio wa makazi na bustani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuku wakienyeji kwaajili ya nyama. Jari afya yako na wateja wako, kwa bei nafuu kabisa. kuku kutoka mbeya, chimala na ubaruku., wanapatika sasa, tunapokea order ya kuanziaa kuku 20 nakuendeleaa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani pole na majukumu, nina kaka yangu yeye hajui mambo ya mitandao, Ana shamba kubwa saaana la miti ya pain, ni miti karibia elfu tatu(3000) ambayo unaweza kuvunwa Ni miti mizuri na ishakomaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nafanya biashara ya bata mzinga....Mayai,vifaranga na bata wakubwa kwa bei nafuu kabisa....wasiliana nami kwa kupitia +255754472547.....Moshi Kilindimo
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Bajaji Imetunzwa vizuri,yenye plate namba BBY unawasha tu na kuondoka nayo, inauzwa shilingi mill 3.5 tu...maongezi yapo kidogo. Njoo ukague iko Dar es Salaam-Mtoni Kijichi piga 0713532322
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anayehitaji Computer Software aina yoyote kuanzia 'Operating System (OS)' hadi 'Professional Application Software' tuwasiliane! O/S ninazo wins XP, Vista Ultimate, Red Hat Linux (and Red Hat Linux...
0 Reactions
113 Replies
9K Views
Nahitaji HONDA CGL 125 ikiwa mpya kabisa(Brand new). Naomba kufahamishwa bei elekezi na mahali zinapouzwa aina hii ya pikipiki. Natanguliza shukrani ndugu zangu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom