Kiwanja Kinauzwa kipo karibu na kanisa la KKKT Kibaga, Kinyerezi
Kina ukubwa wa SqM 2921
Kiwanja Kimepimwa kwa matumizi yote Commercial na residential na kina Documents zote.
Bei ni 105,000,000...
mteja wetu karibu ujipatie MEGAPHONE/SPIKA YA MATANGAZO inatumia better 4 KUBWA pia ina MIC YAKE. inafaa kwa kutangazia matangazo ya biashara, mikutano midogo nk BEI ELFU 70,000 NJOO UJIPATIE YAKO...
Nina s8 smamsung. Nimepata nayo ajali hii mara ya 3. Inapasuka kioo cha mbele na nyuma.
Nahitaji fundi anayeweza kureplace kioo tu na sio display yote. Budget yangu haizidi laki 3.
Sent using...
Habari wakuu
Shamba linauzwa ni robo Tatu ya heka lipo tukuyu mjini MbeyA
Shamba Lina Miche ya maparachichi ya kisasa ipatayo 70 ni kipo sehemu nzuri na limetunzwa ipasavyo
Miche ina mwaka...
Habari. Mpaka tarehe ya leo ninayofanya hii update ktk stock kuna mashine ya umeme yenye uwezo wa Ku produce gunia 8 kwa siku zile kubwa kabisa. Kwa chini kuna picha. Inatumia umeme single phase...
Hlw jf members nmewaletea vikoti (blazer) za kike kwa Bei nafuu kabisa ya shiling elf 10 kwa reja reja elf 8 kwa Bei ya jumla kwanzia pc 5 mifano ndo Kama hvyo kweny picha mzigo upo wa kutosha...
Nauza simu kali sana ya Itel s32 kwa bei nafuu sana...bei ni 210k nimeitumia kwa miezi mitatu tu na nilinunua 320k dukani. Nipo Dodoma 0620 248 608
Network: 2G 3G 4G
Operating System: Android...
Habari wakuu...SANMAT COMPUTER TECHNOLOGY NO WAUZAJI WA COMPUTER(laptops,dektops) + accesories...tunapatikana kabwe stand mbeya... ghorofani ..mikoani tunatuma kwa uaminifu
Karibuni sana
Jmk Royal Services
Dealer wa vifaa vya ujenzi,yakiwemo mabati,tiles,wanakuletea
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)
Mabati ya mikunjo(Versatile)
Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi na...
Naomba kufahamiwisha na mtu yeyote anayefahamu Gari hizi kama spare zake zinapatikana hapa kwetu tz Audi A4,Peugeot 307,206,na Volvo s40 kwa kweli nimevutiwa na hizi gari,ila sijafahamu wapi...
Habari wakuu!
Mwenye kujua kwa DSM wapi naweza pata simu aina ya Nokia Asha 202 anisaidie kunipa direction.
Naipenda sana hii simu, ni ya zamani kidogo!
Pagale linauzwa lipo mbezi msakuzi.
Details:
Ni nyumba kubwa na ya kisasa, yenye vyumba vinne vya kulala, viwili masters na viwili vya watoto, sebule na dining yake, jiko na store yake...
Lipo Kimara mwisho (Tanesco stand ya bonyokwa)
Bei M 3.5
Bei inajumuisha Bidhaa zote zilizo dukani, mizani ya kupimia nafaka, kodi ya frem inayoisha January, Friji kubwa inayofanya kazi...
Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Dar kwa Kutumia Fuso zinazoleta Mazao jijini hapa ili zinaporudi Mikoani zinibebee. Kama unahusika, njoo inbox, sitaki dalali
Professional Communication and Language expert specialized in:
Writing and editing all kind of documents:
Research papers Research Reports Questionnaires Manuscripts Text books Company &...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.