Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa wale wapenzi wa juice za mchanganyiko wa vitu mbalimbali Kama [emoji1647] carrot tango na matunda mbalimbali jipatie sasa juicer makini kwa bei Kama bure njoo inbox kwa namba 0765873325
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SIFA ZA CPU HDD 160GB DVD WRITER MIWILI (YOTE INA BURN DVD) PROCESSOR 2.93ghz RAM 8GB MONITOR samsung inch 19 resolution 1920*1080 Mahali: DAR/KIBO MAWASILIANO : PM BEI YA MASHINE COMPLETE...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar tunafanya delivery mkoani pia tunatuma 0759755452
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarini wakuu, kuna tangazo nililiskia la YONO kwamba kutakuwa na mnada wa IST kesho tarehe 7 September, naomba kujua mnada unafanyikia wapi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Wakubwa zangu habari za Siku na poleni na majukumu ya kila siku. Nisiwasumbue sana ndg zangu naihitaji gari ya Toyota hillux double cabin yenye 4whl namaanisha used hapa bongo. Kuna pori nataka...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
TOYOTA IST INAUZWA CC 1298 Manufacturer YEAR: 2005 Km Operated:76554 Insurance:Valid Registration Number:DME Bei ;Tsh Million 9.5 Negotiable Gari ina Documents zote Piga...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa Umbali =29km tokea ferry Ukubwa = Takriban eka 10 Umeme = Nguzo 6 unafikia Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa Umbali =29km tokea ferry Ukubwa = Takriban eka 10 Umeme = Nguzo 6 unafikia Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem...
1 Reactions
0 Replies
744 Views
*Aluminium door and window. *Aluminium partition. *Aluminium shelf. *Alucobond. *cutting holl. Tunapatikana Mwanza Tanzani. +255759364237
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Chainsaw aina ya husqavarna 272 iliyotumika miezi miwili tu inauzwa bei affordable kwa mtanzania wa kawaida! Ni-pm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale watumiaji na wauzaji wa bidhaa za aborder hasa TV, mtakuwa mashaidi hasa kwenye ubovu wa TV za aborder. Yaani mpaka sasa nina Tv mbili mbovu za hii kampuni, hata mwaka haujaisha zimekuwa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Anaeuza Samsung S6 edge nahitaji haraka sana, alimchek whatsapp 0622544644, iwe clean haijawahi funguliwa wala kupasuka kioo chambele wala chanyuma,iwe inakaa na charge Serious sellers only
2 Reactions
7 Replies
787 Views
Kichwa cha thread kinajieleza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye nacho anicheck 0719090094
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Make: Toyota Model: Carina Colour: Red Engine: 7AFE Engine capacity: 1800 Fuel used: Petrol Body type: Saloon Year: 1996 Manual Bei 6.5 ml mawasiliano 0787360301. Gari ni Mpya, full documents
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta Gari Vitz new model, iwe ya kwako sio dalali na isiwe na matatizo kwenye engine wala gear box. Bei maelewano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mwenye mgahawa wa nje siyo fremu aliojenga kwa kuweka hema juu mzuri anitumie picha tafadhali. Nimepata eneo la wazi nataka nijenge. Sasa natafuta kitu kizuri nimshirikishe fundi wangu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Back
Top Bottom