Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Rav4 Short iyo ina hali ya upya kabisa haijawai kugongwa wala kurudiwa rangi ni ya mwaka 1997 kilometa 112,000 ina engine ndogo cc 1,990 na tumefunga matair yote mapya bei ni 7.5m 0714787795
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu Nyumba ya kupanga inapatikana buza kanisani Nyumba ni Chumba kimoja cha kulala self contained,na sebule Mpangaji ni mmoja tu na mwenye nyumba Nyumba haina makelele ni tulivu mno Kodi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua namna ya kuzipata Gari canter used kutoka Malawi. Hasa zile multipurpose ambazo unaweza ukazitumia kusombea na mchanga.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wanafamilia wenzangu wa Jamii forums, bila shaka ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifa letu. Kama tangazo linavyojieleza hapo juu, nyumba ina jumla ya vyumba 3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JIPATIE BRAND NEW XIAOMI REDMI NOTE 7 YA GB 64 KWA 500,000 YA GB 128 KWA 600K. CAMERA - 48 MP RAM - 4 -6 GB BATTERY - 4000mAh WITH FAST CHARGER USB TYPE C BIDHAA ZOTE ZIKO SEALED NA MAELEWANO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ina bakuli la ujazo wa kilo 3kg. Kwa wajasiriamali wa viungo vya chakula, vinywaji kama kahawa, cocoa na majani makavu, wauzaji wa butter, unga wa lishe na dawa za mitishamba/herbals hii si ya...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Nauza Simu Samsung Galaxy J5 Simu ipo katika hali nzuri Chaji siku nzima ukiwa umewasha data Camera Mp 13 Android 6.01 Storage 16 Gb phone comes with a 5.00-inch touchscreen resolution of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
OFFER! OFFER! OFFER! Jipatie Tv inch 43 aina ya General Max kwa shillingi 590,000tsh pekee Tv ni imara na zina warranty ya miaka miwili Tupigie au whatsapp 0765586050 Zingine: GM inch 32 380,000...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6. 1. Ina Viti 2 (vya kunyolea). 2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea. 3. Ina sofa mbili za...
3 Reactions
62 Replies
10K Views
Salaam wakuu. Kuna shughuli imepatikana kufanyikia Dar Es Salaam. Inahitajika nyumba nzima yenye vyumba 3 vya kulala sebure, jiko na iwe na uzio. Iwe rahisi kufikika na usafiri wowote isiwe ndani...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau, nipo hapa kuomba ushauri wenu, nakutana na wafanyabiashara wengi wanaofanya biashara zao kwenye mtandao wa Instagram. Katika hawa Wafanyabiashara naona wengi wanapata mafanikio...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tunauza mayai ya kisasa kwa bei poa kabisa, Mayai yanapatikana kwa shilingi 6800 trey moj Endapo ukichukua zaidi ya trey 10 bei inapungua kidogo. Njoo PM uweke order tukulete mzigo mkapa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MKOPO! PATA MKOPO KUANZIA 1M MPAKA 2M NDANI YA DK. 30 KWA DHAMANA YA GARI TU! HABARI WAPENDWA, NATOA MIKOPO YA PESA KUANZIA 1,000,000/= HADI 2,000,000/= NDANI YA DK. 30 KWA DHAMANA YA GARI TU...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Wadau ninamzigo wangu wa desktop, photocopy machine, printer vyote vipya na pia vyombo used kama vile flampeni, masufuria, juicer, pasi za umeme na masiki ya toilet na vingine vingi nataka kutoa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadu naomba mnisaidie nataka mwezi January, 2011 ninunue ng'ombe wa kati ya miezi 8-12. Nataka females 100 (age 8-12 months old) & males 20 (18-24 months old) - jumla 120 cattle. Angalia...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
IMESHAUZWA AHSANTENI KWA USHIRIKIANO WENU SIFA ZA COMPUTER INAYOUZWA RAM: 4GB HDD: 232GB Processor: Duo core 2.67Ghz Monitor: 19 inch wide Windows 10 pro Ipo Complete, Bei ni Tsh 260,000/=...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, nina budget ya 8,000,000/= nahitaji Kiwanja. Ningependela maeneo ya Goba, salasala, bunju na madale. Ila popote nakaribisha. +255764998340
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu mwenye Bajaj iliyotumika na ambayo bado iko katika hali nzuri njoo tufanye Biashara 0784356521
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Kiwanja chenye eneo la sqm 960 kipo Kinyerezi mtaa uitwao galilaya. Bei maelewano lakini ni takriban Sh 90,000/= kwa sqm moja. Kipo karibu na station ya Songas, na kimepimwa. Mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom