Salam kutoka Kimomwe Motors Tanzania Limited WAAGIZAJI WA MAGARI.
Siku za hivi karibuni, gari hii imekua kimbilio kwa wenye uhitaji wa gari yenye uimara na nguvu lakini inayotumia mafuta kidogo...
Source: Wateja wa Halotel kupiga simu, kutumia intaneti bila kikomo
Kampuni ya Simu ya Halotel imeanzisha huduma ya Royal Bundle ambayo itawawezesha wateja wake kupata huduma zisizo na kikomo...
Dikoda ya Canal+ HD used miezi 4 inauzwa
Ipo katika hali nzuri
Ligi zinazooneshwa na dikoda hii ni pamoja na, EPL, Serie A, La Liga, Uefa Champions League, Uefa Europa League, Ligue 1.
Malipo ya...
NYUMBA inapatikana KITUNDA, magole
8km kutoka nyerere road (banana)
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule na jiko.
Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20)
Huduma ya maji na umeme inapatikana
Bei: 15m
Tunapenda Sanaa kuwa karbisha AmuzZ Bar And CarWash.. Tupo Moshi maeneo ya #ShantyTown #KisinanRoad aka #BishopStephanoRD
Huduma yetu ni nzuri.. Kuna bar kwa ajili ya vyinwaji, Kuna pool table...
Ninauza Sato na Sangara wabichi kutoka Ziwa Victoria,kwa yeyote anaehitaji jumla na rejareja .
*Bei ya Jumla Sato 9500/= per Kg na Sangara 7000/= per kg.
*Bei za rejareja Sato 10,000/= na Sangar...
Habari Wakuu!
Mkononi mwangu ninao Investors Wazungu ambao wapo interesting kuwekeza kwenye Kampuni ndogo na za size ya kati hasa za Ujenzi..
Masharti yao makubwa ni Kampuni Hizo ziwe na Miradi...
Wakuu husika na kichwa hapo juu na hitaji shamba la kukodi hekari mbili. Sifa
Liwe Dodoma mpwapwa au kongwa.
Linafikika kiurahisi ukiwa umetokea Dodoma mjini
Liwe na rutuba ya mahindi...
Hp Complete Desktop Co i3
Ram 4Gb
Hdd 500Gb
Processor Co i3 3.2ghz 64-bit
Dell monitor 17 inch
Keyboard,mouse,VGA na Power cables
Very good Condition
Bei = 320000 tuu
Call 0688115546
Location...
Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala.
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, jiko.
Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20)
Huduma za kijamii zinapatikana (maji, umeme na barabara)
Umbali kutoka msongola...
Habari zenu wakuu, kwa wazoefu wa mji wa Arusha naomba mnisaidie kujua ntapata wapi chumba cha kupanga na bei ya kodi inaanzia kiasi gani? Ofisi yangu ipo maeneo ya karibu na kiwanja cha ndege...
hellow every one out there our due deligence and compliances based in environments is to carry out environmental roles, we are the consultant of environments licensed by NEMC, Please dear all we...
Kama unajipenda na kujithamini,utakuwa unaelewa umuhimu wa kutumia vipodozi vyenye ubora na uhakika.
Kuna kitu kipya kwa wengi mimi nimetumia na kushuhudia Maajabu yake maana nilihangaika huku na...
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160296.
Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-Es-Salaam. Kwa maelezo zaidi...
Habari zenu wana jamvi
Natafuta stylus pen ya Microsoft surface pro 3.
Mwenye nayo au anaejua vinauzwa wapi Kwa hapa Dar naomba msaada.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
acer ASPRIRE one used lakini haina tatizo lolote na haijawahi mwona fundi na ipo kwenye good condition
RAM 2GB
Processor AMD C- 50
Battery 3hrs - 5hrs
Portable
Bei ni 300k fixed
Location; MWANZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.