Bei 30000/=
1. inatumia solar
2.inatumia usb ya android kuicharge
3. Inatunza charge
USED IN UK
CLEAN CONDITION
Napatikana Tabata Barakuda
Whatsap 0752396052
Call 0675294320
Vunja bei again...offer ya leo, Jipatie galaxy S5 mpyaaa full accessories, black/white color. Storage 16GB, Ram 2GB, Camera 16MP...
Kwa Bei chee. 430k
:kumbuka pia Simu nyingne za kisasa zipoo...
Habar wana JF
Nauza vifaa au manual mashine, vya kupukuchulia mahindi, (hand maize corn sheller)kwa wakulima wadogo
wa mahindi
Badala ya kutumia mikono,au visu au njia ya kupiga na magongo mahind...
1.Bomba inch 4 mita 6na mfuniko wake
2.Bomba ya bafu inch 2 na chujio yake mita 3,
3.Sink 1
4.Elibo moja
5.Nondo milimita 12
6.Waya mesh
7.Binding wire kilo 1
8. Misumari inchi 2 na...
natafuta busness patner wa mafuta ya alizet tunazalisha wenyewe wilayani serenget mkoa wa mara kwa mawasiliano 0765447007 tunatoa kuanzia lita 800 kila wiki karibun hata kama unahitaji kuwa ajent...
1. Gb 16
2. Inatumia line yoyote (internet) & wireless
3. Bado ipo vizuri
Bei ni 300,000/=( LAKI TATU )
MAONGEZI YAPO, NAUZA KWA SHIDA (DHARURA YA HARAKA) ZANGU KARIBUNI.
MAWASILIANO...
Wakuu kwema? Nadhan mmeshasikia sana kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani kipindi cha zamani, sasa kuna nyumba moja iko tanga ilikuwa inakaliwa na wajeruman na kwa sasa inamilikiwa na mtz, nyumba...
Hi Tanzanian and Fellow East African.
My name is Ezekiel,am Insurance expert,working under Resolution Insurance Tanzania Limited.
Any question,query,doubt,information about all classes of...
Za saa hizi jamani
Kuna vifaa nauza bado vipya na kwa packaging yake
Drip tapes(mipira ya kilimo cha umwagiliaji) kwa mita 1000 tsh 230,000
Greenhouse 12 by 20 mita na insect net yake tsh...
Vifaa vya salon complete ambavyo ni viti viwil vya kunyoa na vioo vyake na meza zake
Viwil vya scrub na vioo vyake
Air conditioner moja
Viti vitatu vya kusubiria
Beseni la miguu lile la vibration...
Ujuzi katika 3D Animation una mahitaji makubwa hapa duniani. Unaweza kuajiriwa katika makampuni ya Video Games, film au television. Pia unaweza pia kujiajiri mwenyewe ukafanya kazi kama...
Nauza meza ( mninga mtupu) ya kujipodoa na kutunzia vitu vidogo vidogo vingi kwasababu ina draws 6 na kioo kikubwa na nafasi ya kuweka vitu vingi juu yake. Samani za mninga hazikamatiki. Bei...
Habari za wakati wana JF,napenda kuchukua fursa hii kuwaletea vifaa mbali mbali ambavyo waweza vitumia mahala popote,ni rahisi kubebeka na unaweza kufanya mazoezi wakati wowote kutokana na ratiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.