Habari za muda,
Anaeuza kifaa tajwa hapo juu aweke hapa picha, bei yake, mahali kilipo na maelezo ya kifaa!
Nitamcheki Pm kwa biashara!
NB: uaminifu kwanza[emoji41][emoji41][emoji41]
Habarini wakubwa natafuta frem ya kuuzia mapambo ya magari kwa jiji la dar es salaam, maeneo ambayo ningependelea nipate ni barabara ya bagamoyo yote kwa maana ya kuanzia moroko airtel hadi...
-samsung inchi 49 inauzwa
-imetumika miezi 6 haina tatizo lolote
-ina warranty ya miaka miwili
-nakupa stand ya ukutani pamoja na TV guard bureee
-bei laki nane ( 800,000)
-ipo kimara mwisho
-...
UNIVERSITY OFFERS[emoji92]
Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni...
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.
Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.
Karibu.
Tunatengeneza web applications (websites na web systems) na android applications kwa bei nafuu kabisa,kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane nasi kwa namba zifuatazo 0769729927 au 0652130344
Bodi ya taifa ya shindano la kimataifa la Miss Utalii Tanzania,inahitaji mawakala wa kuanda na kusimamia fainali za Miss Utalii Tanzania kanda za:
Kusini (Ruvuma,Lindi,Mtwara)
Nyanda za Juu...
Kipo eneo linaloitwa kwa mwatano
Eneo ni 40 m × 35m
Lina boma la vyumba vinne imefikia lenta
Eneo linafaa kwa makazi
Nauli ni sh 400 tu kwenda mjini
Bei ni 13 milioni (maongezi yapo)
Wasap...
Habari JF.
Naanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya taarifa, elimu, na upatikanaji wa vifungashio vya bidhaa zinazotokana na ufugaji. Bidhaa hizi ni kama vile mayai ya kuku, bata, kanga, nk. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.