Wana JF nimeuanzisha huu uzi makusudi kujua bei ya vifaa mbalimbali ya ujenzi wa nyumba naomba tuwe tunaweka bei ya vifaa tofautitofauti kusudi wanayojenga kwa awamu wajue pa kuanzia
Mod naomba...
Habari wadau, pole na mihangaiko nafikilia kuanzisha biashara ya car wash japo inachangamoto kwani umekuwa nyingi na bei imeshuka ila ntakomaa naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kazi hyo
1...
Habari wadau,
Natafuta zaidi ya tani 50 za mianzi (Bamboo) kutoka sehemu yoyote Tanzania Bara. Kwa mwenye kujua mianzi inapatikana wapi kwa wingi niko tayari kuifata hasa kwa maeneo ya Dar es...
Habari zenu wadau! Kama kichwa kinavyosema, ni kwamba kuna pikipiki inauzwa kwa Tsh 2,300,000 tu. Ina muda wa wiki mbili toka inunuliwe. Napatikana Arusha kama utahitaji ni pm
Samsung flat Tv inauzwa na wale wale wazee Wa kujidakisha Najidakia store mbezi beach njoo ujipatie Vitu Kwa bei rahisi
Tv inchi 50 Kwa million moja na Laki moja tu njoo tuongee 0762612213
Dear members.
I am urgently looking for two candidates to work as quality control chemist in a soft drink manufacturing firm .
Qualification: Bsc. Food Science and Technology
Fresh graduates...
Njoo agiza nasi sasa bidhaa yako uipendayo kwa bei nafuu kabisa.
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi, Jengo la Rubeya, Floor ya kwanza.
MAWASILIANO
0767362849
0676648992...
Chuo cha kilimo na mifugo Kaole Bagamoyo kimeanza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na kozi mbalimbali za mifugo na kilimo kwa ngazi ya cheti,VETA na Diploma
Tunapokea wanafunzi...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu...
Hii ni kwa wajasiriamali wa kutengeneza mifuko mbadala ya karatasi (kaki).....na vifungashio...
Tunasambaza materials kwa bei nafuu zenye kukupa faida kubwa...
Tunazo Gsm 70,Gsm 80,Gsm 90 na Gsm...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima
Naomba anae jua wapi naeza nikampata fundi wa kusokota dreadlocks Kwa wanaume mkoa wa singida
Ukiniambia Na bei na contact zake itakua vizuri zaidi...
Salaam,
Kiwanja kinapatikana kitunda, Mara tu baada ya kuvuka reli kituo kinachofuata.
Kiwanja kina ukubwa miguu 25*27
Kina msingi wa nyumba tayari
Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara ya...
Sabalheri wakuu,
Nahitaji fundi mweledi wa kupaua nyumba kwa mtindo wa MONOPITCH kwa bei nzuri (?nafuu?).
Nina ramani/michoro tayari - ni nyumba ya makazi.
Eneo ni Kigamboni, Dar es salaam...
Jamani ninakiwanda cha mifuko yakaki (vifungashio)naomba msaada wa mtu anaejua machine ya kuunda mfuko wenye mbavu na kitako kwamawasiliano no 0714532520
Nyumba nzuri inauzwa. Mwanzoni ilikuwa 100m ila kwa sasa ni 50m.
IPO Kivule fremu kumi maeneo ya jirani na stendi
Ina vyumba vi 4 - sebule, dining, study room, stoo na jiko vyote vipo.
Eneo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.