KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa...
Kama kichwa kinavojieleza naulizia kwenu wadau kama kuna MTU anafahamu Herbicides spesho Kwa ajili ya kuua nyasi Na magugu kwenye pamba anisaidie nimechoka kupalilia Kwa jembe LA mkono...nawasilisha
Nauza kiwanja kipo kisongo Arusha! Km 6 kutoka Arusha airport na 500m kutoka barabara kuu ya Ars-Dodoma
-ukubwa 110mx 30m
-Bei 25milion
Hakina dalali
No. 0762436011
BEI IMESHUKA ZAIDI
nyumba inapatikana mtoni kijichi karibu na maghorofa ya jwtz.
MAELEZO husika.
1. ina vyumba vinne na vyote ni master bedrooms.
2. ina chumba cha kufulia
3.ina chumba cha...
Wakuu,
Natafuta Kiwanja maeneo ya Goba, kisiwe umbali unaozidi kilomita tatu kutoka barabara inayoenda Mbezi Mwisho.
Kisipungue ukubwa wa square metre 900, buget yangu ni milioni 15.
Madalali...
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo Dodoma nauza gari langu T 456 BEA, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri...
habari wakuu
natafuta mashine ya kufyatulia matofali
nahitaji kujua bei zake
ile ya umeme
na isiyo ya umeme
nahitaji kwa haraka mwenye nazo naomba anijulishe bei tukiafikiana ninunue
Ili biashara yako iwe na muonekano thabiti unahitaji kuwa na akaunti za biashara,wajasiriamali wengi ,wanachanganya biashara zao na maisha yao,akaunti ya biashara hiyo hiyo inatumika kwa mambo...
Wakuu naomben msaada namna ya kulipia tangazo instagram kwa sababu kila navojarib kulipia kwa mpesa mastercard naambiwa mm sio admin wa hiyo account, naombeni ambaye anajua anisaidie
Kutana na mafundi bora wa friji,a/c za magari,a/c za majumba pamoja na umeme kazi zetu ni uhakika bila shaka tunafika popote ulipo tuwasiliane kwa namba 0713230547(Haji)au 0717227054(Victor)
MATUMIZI BORA YA ARDHI NA MAJI
KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Engineer Octavian J Lasway
Irrigation and water Resources Engineer
+255763347985/673000103
UTANGULIZI
Nchi ya Tanzania ni...
Engine capacity 990cc
Colour wh ite pearl
Mileage 87575
Number DCE
Ina minor scratches upande wa kushoto ilipigwa pasi na bajaj.
Bei 5.7 mls
0620775877
Niaje..
Natafuta gari aina ya Toyota Surf iwe nzima kabisa ofa yangu ni mil 15 nakuja na fundi wangu...
Iwe ma hali nzuri kuanzia siti, body hadi engine...
********* ********* ********
Baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.