Haina tatizo lolote, haijawai kufunguliwa, haijawai kwend kwa fundi, ina 4g, ina laini mbili, ina internal 32 gb ina ram 3gb, inakaa na charg bei ni 220000 maelewano yapo. Napatikana mwanza...
Natoa huduma ya kuomba nafasi za kusoma chuo (online application) kwa popote ulipo nakuhudumia na pia kama unashida ya kuomba loan board karibu, gharama kwa mtu mmoja ni 30,000 tu.
Pia tunatoa na...
Imetumika miezi 8
Ina box na charger, Earphones zilipotea
Ni Gold
Ina cover na protector nzuri kabisa
Bei 770k kuna maongezi pia
Nina shida na pesa sana
Battery health ni 78%
0738854581
Habarini.
Subject inajieleza. Kwa mafundi tiles na wale wabobezi wa masuala ya 'tiles'.. napenda kufahamu yafuatayo;
1. Faida na hasara za kutumia 'skating' za mbao badala ya kutumia zile...
Habari wanajamii, ninapenda kuwataarifu kwamba kwa yeyote anayehitaji power auger yenye uwezo wakuchimba kina cha 10miters, mashine hii ni nzuri kwa watafiti wa madini, wajenzi wa barabara...
Bei ni milioni 8.8 ( milioni nane na laki nane) maongezi yapo kidogo
Gari haijawahi kupata ajali wala kuludiwa langi
Full vibali
Full A/C
Full documents
Tairi zote nne ni mpya pamoja na spear...
Habari wadau, jamani namiliki gari tajwa hapo ( Daihatsu Sportrak aka ROCK yenye engine HD) sasa inasumbua injini shaft, mikono, ring piston e.t.c
Nataka kufanya overall kwa hiyo natafuta hizo...
Wadau salaam..natafuta engine ya Land Cruiser Prado complete na gear box yake. 1KZ au 3RZ.Kama kuna mtu anayo pls tuwasiliane kwa namba 0656666666.Asantenii
Maelezo:
Nyumba inapatikana mwanagati, (wilaya ya ilala)
Nyumba ina vyumba vitatu ( 1 self contained)
Ipo ndani ya fensi
Ina maji na Umeme
Eneo ni sqm 625 (25*25)
Eneo limesharasimishwa...
Naitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.