Wadau wa nguo popote mlipo nahitaji nguo hizi kwa bei ya jumla. Kama unazo au unafahamu wapi naweza pata nitashukuru ila zile original cotton angalau 90%, kama una fake usihangaike sitanunua, je...
Are you fascinated by the web and want to get a glimpse of the tricks of web development?
Do you want to learn web development and start building your own website for your own business?
Do you...
Habari 'Wakuu'
Nahitaji mtu aishiye Dodoma(hasa mjini) anayeweza kunikopesha Tsh 400,000/= kwa dhamana ya Laptop(computer mpakato) aina ya HP yenye thamani hiyo! Kwa mwezi mmoja, nirejeshe...
Salaam,
Nilivunja kioo changu bahati mbaya kama kinavyoonekana pichani.
Naomba mwenye kujua mahali au fundi hapa DAR anayetengeneza vioo anijuze tafadhali.
Mawasiliano yake au mahali...
*Mwalimu wa biology na Geography anayehitaji tuition nafundisha kuanzia form 1-6 masomo tajwa*!
*Nakufata home ukihitaji au njoo Maurice high school iko mbande_kisewe stand (Dsm)*
_SCHOOL...
Price: tsh.60000/Pc Min order: 500 pcs Supply ability: 50000pcs / per month.
Head office
Plot no 620 block A
Buguruni area
Ilala Dar es salaam
Contact
0762525846
kiwaleis5@gmail.com
*HP Elitebook 8470p, NoteBook Laptop 3rd Gen.*
IPO SOKONI KWA BEI CHEE SANA...SAWA NA BURE...
[emoji676][emoji676][emoji676][emoji676][emoji676][emoji676][emoji676]
[emoji839]Kioo tu kwanza ni...
Habari, naitwa Lisa ni binti nasoma chuo cha TIA mwaka wa pili. Nasafisha masink ya chooni ambayo yamefubaa na yenye uchafu sugu na kurudisha katika upya wake. Mikoani mkinihitaji naweza kuja...
Habari za jioni Wakuu..
Tafadhali rejea kichwa tajwa hapo juu.
Nyumba nzuri na ya Kisasa inauzwa, iko wilaya ya Sengerema katika mkoa wa Mwanza..
Nyumba ina vyumba 3, kimoja Master.
Sebule...
Nauza kiwanja changu, kipo mwanza mtaa wa buswelo maeneo ya Nyamadoke msikitini. Karibu ya barabara litokalo Igoma kwenda wilayani.
Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25 m.
Nakiuza kwa mil 5
Bei ni chee kama Zanzibar...
RISING 32" INCH...INAPATIKANA DAR...
325,000/-
Njoo PM TUZUNGUMZE...WAHI MAPEMA...STOCKS NI CHACHE KWA BEI HII YA OFFER...
Plot/kiwanja chenye ukubwa wa 30×60 (1800 M^2) inauzwa madale karibu na secondary ya mbopo
umbali wa elfu 1 kwa bodaboda kutoka balabala ya Madale Tegeta
Umeme upo umbali wa mita 120
Gari...
- kuchonga box speaker mid na bass speaker kwa bei rahisi sana
- kufundisha ufundi wa vyombo vya muziki
- kutengeneza vyombo vya muziki kama keyboard, mixer, booster, equalizer, crossover, mic nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.