Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Gari ya kubeba taka/mchanga/mizigo Isuzu Txd 50 Tipper ya tani 7.5 inauzwa, injini iko katika hali nzuri jino moja tu inawaka, body ya kupaka rangi kila kitu standard. Asking price 6 million only...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mimi ni Fundi UMEME wa NYUMBA with much Exeperience...Kwenye Kazi hii...Natoa offa ktk kueneza network ya Kazi zangu...Nakufanyia Wiring ya UMEME wa NYUMBA aina yoyote...ile kwa BEI nafuu ya...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu, nahitaji bumper la mbele la 2007 Toyota IST (new model) pamoja na side mirrors 2.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Pata smartphones ya kisasa kwa bei chee: Nimeshusha bei: Vunja Bei matelephones bingwa wa kuuza smartphones bomba kwa bei pouwa, sasa bei imeshuka zaidi. pata Smartphones za kisasa, mpyaa vifaa...
14 Reactions
849 Replies
134K Views
Natumai wakuu wote ni wazima Naomba kwa aliye Dar ambaye ana mtungi wa gas wa Oryx kilo 32 kama alikua na nia kuusafirisha kuja tanga tubadilishane aniachie huo Dar aje nimpe huu nilionao tanga...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Usilete injili hapa tuna imani tofauti Kwa anaefaham mganga yoyote wa kienyeji ambae ni FUNDI naomba anielekeze hata pm please, Nina shida tena kubwa sana na ni mda mrefu nateseka. Awe maeneo ya...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Nahitaji Fridge used yenye uwezo wa kufanya kazi vizuri, yenye na sehemu ya kugandisha, iwe ya bei nzuri.
0 Reactions
2 Replies
614 Views
Karibu sana kwa saa zenyeweee kabisaa tuandikie au tupigie 0766727272. Bei reasonable kabisaaa, wenyewe wanasema sawa na buree... Pendeza kaka na Dada mpendezeshe shemeji.... Wanawake spoil your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ya muda huu mpendwa na mwana J.F nakukaribisha wewe unaehitaji kupata huduma ya kununua gari Aina yeyote iwe mpya kwa kuagiza kutoka nje au iliotumika hapa hapa iwe ndani au nje ya Dar es...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Nauza tablet aina ya samsung galaxy tab A(2016) Ina internal memory 8 gb Ram 1.5 Android version 5.1.1 LTE Cat 4 Full Hd play back 4000mAh battery 5.0Mp AF +2.0 MPVT Camera. Price 200,000 tsh...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samsung galaxy grand max ni mpya kabisa na ni original kutoka Korea. -ni line moja -GB 16 -ina camera yenye ubora wa hali ya juu Zinapatikana Dar, Moro na Dodoma Wahi zimebaki chache...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Samsung galaxy grand neo plus RAM : 1GB Internal : 8GB Bei 330,000/= ( negotiable ) Mahali : Dar Mawasiliano : PM Haina tatizo lolote Inatolewa na chaji, earphone, screenprotector, cover, na 8gb...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Hauhitaji mhudumu.hauibiwi MAJI.unaweka sarafu ya shs 50,100,200 au 500. Inaanza kutoa MAJI kulingana na hela uliyoweka.ni kama unavyonunua mafuta petrol station.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Tushauriane kuhusu ubora wa hivi vigari, mafuta, bei, ubora n.K maana natamani nikanunue na nakatafuta
0 Reactions
34 Replies
14K Views
Karibu kimomwe motors kwa mahitaji magari aina yote kutoka japan tutakuhudumia mpka kukamilisha usajili wote karibu fika katika ofisi zetu magomeni mapipa usawa na mwendo kasi jengo letu la...
1 Reactions
0 Replies
792 Views
Gari inauzwa kama inavyoonekana katika picha. Imetembea km 14,000 TU. Bei: Milioni 40 biashara maelewano. Kwa mawasiliano zaidi; 0623 509362 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nauza tata bus Namba DEJ Mlango mmoja muhitaji anipigie 0719909691. / 0763166893 karibuni gari ipo Dar es salaam
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nani anaingiza au wakala wao mkuu wa cement hii, nahitaji mifuko mingi kwa wakati mmoja na kwa bei nzuri. asante
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mwenye uwezo wa ku supply zaidi ya ton 100 za Mahindi na kuzileta Rwanda anakalibishwa inbox kwa majadiliano..
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Back
Top Bottom