Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nina uhitaji wa unga au juice ya msamitu, kwa wale wenye access yake tafadhali anijibu kwa hii thread ili nimtafute nijue nitaupataje.
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Chumba na sebule,Choo,jiko,store na maji.Karibu na stand mpya.Mbagala kuu.Laki moja tu.0715886671
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Wanajamiiforum ni imani yangu muwazima wa kama sio hivyo basi tuombeane. Nahitaji mkopo wa 300,000/= nikae nao miezi mwili na marejesho yawe 500,000/= tarehe 31/08/2019. Mambo ya riba mkopeshaji...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tunauza Magazeti Kwa Jumla Na leja Leja Popote Ulipo Tunakulete Mawasiljiano 0766648278
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari. Nahitaji mzani wa kupimia bidhaa dukani. Mfano wa picha hii. Bajeti yangu ni 40,000. Napatikana Dar Mbezi Luis.
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wakuu kama kuna mtu ana gari aina ya fuso au canter ambayo ni tipa na ambayo imetumika hapa nchini, kama atakuwa anauza naomba tuwasiliane 0678178694 Onyo sihitaji dalali, nataka mmiliki hasa.
0 Reactions
1 Replies
604 Views
salaam, Nyumba inapatikana kitunda. Km 3.5m kutoka NYERERE ROAD (old pugu road) Details Nyumba ina vyumba vitatu (kimoja master) Ina tiles na gypsum Ina leseni ya makazi na pia ipo kwenye zoezi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hello Wana#FORUM Urgently NANUNUA MADINI YA VITO/ GEMS Aina ya Rubby, Topaz, Tourmaline, Sapphire, Green Garnnet, Red Garnnet na Ammasist
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hizi ni mifano yet set ya piece 8. Shuka 2pc, pazia 2pc na foronya 4pc Ukubwa wa shuka ni 7*8 na mapazia ni 1.5 metr kwa upana na 2.5 meter urefu. Ni mashuka (flat sheets) na sio duvet. Bei ni...
1 Reactions
104 Replies
30K Views
Hbr za j,pili wapendwa Naomba mwenye kujua duka kubwa LA jumla LA vyombo vya mahotelin aniambie linapatikana maeneo gani kwadar MF pressure cooker, mahotpot pot makubwa na vitu vinavyo husiana na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuku hawa si wageni machoni na masikio pa wengi, hasa wafugaji, wakulima na wajasiriamali inawezekana ukawa umepata fursa ya kuwafuga, kuwasikia mahala popote wakizungumziwa, na hata humu JF kuna...
1 Reactions
14 Replies
28K Views
HP Pavilion DV6-6120us notebook Intel core i3 Ram 4gb HD 320 gb Graphics -RADEON Beats Audio Laptop badonzuri bei 450,000/= Contact -0715808028
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Natafuta dada wa kazi za ndani awe mtu wa dar es salaam Nitafute kwa namba : 0656831415/0687131423
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa, ina sifa zifuatazo 1-ina vyumba vinne. 2-ina choo cha ndani na nje. 3-ina jiko la ndani 4-ina stoo 5-bafu la ndani 6-sebule nzuri sana ya kuvutia 7-sehemu ya...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Wakuu salama? Ama baada ya salamu, ningependa kwenda moja kwa moja katika mada husika. Nina laptop nimeinunua march this year as refublished, naiuza na haina tatizo lolote, ni kua nimepata...
0 Reactions
9 Replies
940 Views
Mic kwa ajili ya vocal zinapatikana hapa. Update nimeondoa mawasiliano. Kwa sasa bidhaa haipatikan Call now upate yako
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habar kilivyo. Mwenye mpya na viambata vyake. Box tu ndo si muhim. Bei iwe ya kuuza na si kunitaarifu kuwa unayo sim hiyo. Iwe dar.
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Tunatoa huduma ya kutangaza matangazo ya biashara na brand mtandaoni ambapo tuna aina 2 za kutangaza. - Human factor na Machine Factor Ukitumia human factor hii ni huduma inayojumuisha matumizi...
1 Reactions
1 Replies
927 Views
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY NK CONTACT - 0753120120 WEB : www.bestunlocksolution.com VODAFONE V875, V785, VF685 SIMU 10 ZA MWANZO BURE...
4 Reactions
216 Replies
21K Views
Kwayeyote anisaidie kupata handsome up pump! inahitajika tafadhari! karibuni DM
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom