Nauza mashuka mazuri, karibu nikuhudumie

Nauza mashuka mazuri, karibu nikuhudumie

laiddi

Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
55
Reaction score
40
Hizi ni mifano yet set ya piece 8. Shuka 2pc, pazia 2pc na foronya 4pc
Ukubwa wa shuka ni 7*8 na mapazia ni 1.5 metr kwa upana na 2.5 meter urefu.
Ni mashuka (flat sheets) na sio duvet.
Bei ni elfu 70000/= na gharama inajumuisha delivery kwa wakazi wa dar na utalipia ukishapokea mzigo wako.
Mikoani natuma kwa gharama za mteja. Ukihitaji nicheki kupitia 0712312706. Karibuni
shuka za pazia 8pcset _shuka 2pc _pazia 2pc _foronya 4pc duka lipo kariakoo mtaa.jpg
Subpost 5 - Shuka 1pc Duvet cover 1pc Foronya 4pc Bei 45000tsh Ukihitaji jumla n.jpg
IMG_20180427_221551_652.jpg
20180428_163412.jpg
20180428_163356.jpg
 
Hongera sana na bidhaa nzuri. Tatizo la bongo tunafua kwa kufikicha kwa mikono tena kwa sabuni zenye detergent nyingi ukiiweka sabuni ya unga kwenye maji mpaka unasikia yamekuwa ya moto sasa ukifua mara moja zinabaki kuwa "flat screen"
 
70,000 ninunue shuka..?? Acha Masikhara aisee, hebu kula 10,000.
Kaka shuka zinatofautiana ubora ndugu yangu. Ya elfu kumi unaweza ukapata ila ukifua mara moja ushaichukia. Ila kwa ushauri kama hiyo ndio budget yako, usisite kutafuta ya mtumba utapata mazuri bila foronya.
Alafu kingine unawezaje kuweka zulia zuri sebleni, flat screen matata ila chumbani kwako usijipendelee? Karibu nikuhudumie
 
Kila kitu kina wateja wake mkuu, wewe uwezo wako elf 10 na ni pesa nyingi sana hiyo. Ila wapo wanaohitaji mashuka ya elf 70 na hata mil 1. Kwa hyo usiumie roho sana pambana na hali yako.
Asante..
Nashukuru
 
Hongera sana na bidhaa nzuri. Tatizo la bongo tunafua kwa kufikicha kwa mikono tena kwa sabuni zenye detergent nyingi ukiiweka sabuni ya unga kwenye maji mpaka unasikia yamekuwa ya moto sasa ukifua mara moja zinabaki kuwa "flat screen"
Ila ww ndugu yangu nna imani unafahamu njia sahihi ya kutunza mashuka. Ukihitaji nichek
 
me budget yangu ni 40k mkuu
Habari yako mkuu. Kuna hayo ya 45k utapata shuka, duvet cover ambalo pia unaweza litandika kama shuka na foronya nne. Ukihamasika nitafute
 

Attachments

Kama nimekuelewa vizuri:
Unamaanisha shuka 2pc, pazia 2pc na foronya 4pc kwa 70,000/=??
 
20180430_195138.jpg
IMG_20180430_201119_099.jpg
IMG_20180430_201119_099.jpg
Kama nimekuelewa vizuri:
Unamaanisha shuka 2pc, pazia 2pc na foronya 4pc kwa 70,000/=??
Ndio ndugu yangu sahihi kabisa. Ila kuna mzigo umeingia leo ni shuka 2 na foronya nne na quality ni nzuri zaidi kwa elfu 65. Ukihitaji nichek nakuletea zote uthaminishe au uje dukani kkoo, mtaa wa swahili na mchikichini. Karibu
 
Hizi za 65 hazina pazia?
Hazina ndugu yangu. Quality yake ni nzuri zaidi ukilinganisha na yale yenye pazia. Na kuna haya ya 60 elfu. Na yenyewe ni pure cotton na ukubwa ni 7*8, hautojutia. Karibu.
Subpost 4 - shuka 2pc na foronya 4pc  bei_price rejareja_retail - 60000tsh  jumla.jpg
20180501_123718.jpg
Subpost 3 - shuka mbili foronya nne  bed sheet 2p  pillowcases 4p  reaja_retail .jpg
Subpost 1 - shuka mbili foronya nne  bed sheet 2p  pillowcases 4p  reaja_retail .jpg
 
Haya mashuka ni set ya piece 6. Shuka pc mbili zenye ukubwa wa 7.5 kwa 8 na foronya 4pc.
Bei ni elfu 60000/= ni Pure cotton. Karibuni. Ukihitaji nicheki kupitia 0712312706
20180505_185850.jpg
20180505_191930.jpg
20180505_190910.jpg
20180505_184732.jpg
 
Back
Top Bottom