General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Una shuka nzuri?Ni nzuri bei ya jumla ni ngapi?
Uzito wake ni kama za Uganda?
Isiwe mtumba lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Una shuka nzuri?Ni nzuri bei ya jumla ni ngapi?
Uzito wake ni kama za Uganda?
Hapana hzo sio cotton na nilishaachana nazo ila naweza kufanya mpango tukatengeneza pazia kwenye design hizi za cotton ila changamoto ni kwamba kila ukibadilisha shuka utabadilisha na pazia?
Mbona umesema upo k.koo mara magomenHapana hzo sio cotton na nilishaachana nazo ila naweza kufanya mpango tukatengeneza pazia kwenye design hizi za cotton ila changamoto ni kwamba kila ukibadilisha shuka utabadilisha na pazia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shuka zipo ndugu. Nichek kwenye no.zangu kesho 0788429043 au 0712312706 ili nikutumie pcha. KaribuYaani! Nasikitika kuona huu uzi leo,
Shuka zako nzuri sana.!
Asante sana mkuuShuka zipo ndugu. Nichek kwenye no.zangu kesho 0788429043 au 0712312706 ili nikutumie pcha. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kuna dizaini nyingine mbali na hizo ulizoweka hapo juu?! Btw, hazitoi rangi ili tutafutane next week kwa ajili ya hizi:-Shuka zipo ndugu. Nichek kwenye no.zangu kesho 0788429043 au 0712312706 ili nikutumie pcha. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kuna dizaini nyingine mbali na hizo ulizoweka hapo juu?! Btw, hazitoi rangi ili tutafutane next week kwa ajili ya hizi:-
View attachment 1023778
Na
View attachment 1023779
Kwa maelezo hayo, ina maana hiyo sample niliyoitaka inaweza isiwepo hiyo next week?!! Tena ngoja niweke kumbukumbu sawa, by next Wednesday (Feb 20), naweza kuwa na uwezo wa kuchukua 1, lakini by February 27, naweza kuchukua mbili!Habari yako ndugu. Hazitoi rangi wala kututumka. Kuhusu design, nnapochukulia mzigo kila J3 huwa kunakuwa na mali mpya.
Wakati tunasubiri hela wiki ijayo, simply contact me nikupe foronya 1 tu kama sample uitumie, ukiridhika utanunua. Karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes probably. Ila unaweza tu kuniambia ni zipi nikaziweka pembeni, kama by the promised date haujazichukua basi zitauzwa.Kwa maelezo hayo, ina maana hiyo sample niliyoitaka inaweza isiwepo hiyo next week?!! Tena ngoja niweke kumbukumbu sawa, by next Wednesday (Feb 20), naweza kuwa na uwezo wa kuchukua 1, lakini by February 27, naweza kuchukua mbili!
To be honest,pilika za kutafuta mkate wa kila siku zinanifanye niwe na muda mfupi sana wa kutoka sehemu moja kwenda nyingine! Hivyo basi, kama unafanya delivery Dar basi Jumatano next week NINA UHAKIKA wa kuchukua hiyo ya juu (kwenye post yangu ya kwanza) na kwahiyo weka pembeni. Hiyo ya pili, sijaipenda kivilee lakini ndo kwavile nimekosa mbadala kwa hizo sample ulizoweka ndo maana nikachagua na hiyo. Which means, unaweza kuchagua unavyoona inakufaa wewe kibiashara. Kama unaweza kunisubiri hadi February 27, basi niwekee 2 pembeni na NINA UHAKIKA wa kuchukua by hiyo tarehe. Kama 2 weeks ni nyingi sana kusubiria, basi unaweza kuniwekea hiyo ya juu kwa ajili ya Jtano ijayo.Yes probably. Ila unaweza tu kuniambia ni zipi nikaziweka pembeni, kama by the promised date haujazichukua basi zitauzwa.
Karibu sana. 0788429043/0712312706. Zote zinapatikana whatsap pia
Sent using Jamii Forums mobile app